Baraza la Habari Tanzania(MCT) wamlaumu RC Makonda kwa uvamizi wa Clouds Media

HABARI MPYA:

Baraza la Habari Tanzania lasema kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa DSM kuvamia Kituo cha Clouds Media ni ukiukwaji wa uhuru wa habari na uhariri.

[HASHTAG]#Mwananchileo[/HASHTAG]
53bf629565f25233ac786a8d2858f12c.jpg
 
Tunajua!! Hata makonda mwenyewe anajua hivyo! Watoe msimamo wao tuwaelewe!! Siyo hii staili yao ya kumkimbia adui yako huku unamwambia "ngoja nikushike utanitambua"
 
Hiyo report ni yanini wakati huu wakati mlengwa ameshasamehewa na ameonyesha waziwazi kuwa kusamehewa kwake ni kimbelembele cha MCT uliona wapi mtu anasamehewa bila kuomba samahani....hiyo riport ni upumbavu mtupu
 
Hawa jamaa mbona kama wamekuwa kama demu anaengata ngata Kucha ila kusema amekubali ndio maneno yanakataa kutoka. TEF leo wameleta tangazo halina kichwa wala miguu halielezi wamemsamehe au msimamo ni pale pale, wakatucha hewani hawa nao wamekuja na staili ya kulaani kwani kulaani si kila mtu alishalaani. Huu ujinga wa hivyi vyombo ndio unawafanya ahata watu wanaita wasaidizi wao wapumbavu.
 
Hii tasnia ina upumbavu mwingi,sasa hapo msimamo wao ni nini?na wale wengine waliojing'atang'ata bila kutamka lolote la maana si ndo hao hao. Ovyooooooo!!
 
Back
Top Bottom