Baraza la ardhi la Kata na Baraza la ardhi la Wilaya

DENAMWE

JF-Expert Member
Dec 29, 2019
804
804
Naomba kufahamu yafuatayo kuhusu Baraza la ardhi la Kata na Baraza la ardhi la Wilaya:
1. Wajumbe wake wanapatikanaje.
2. Idadi ya wajumbe.
3. Muda wa kazi kabla ya kubadilishwa/kuondolewa ni miaka mingapi.
4. Majukumu/kazi zake.
5. Malipo yao.
Na mengineyo kama yapo.
 
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Tafuta sheria husika usome. Kama Land disputes act na regulations zake.
 
Naomba kufahamu yafuatayo kuhusu Baraza la ardhi la Kata na Baraza la ardhi la Wilaya:
1. Wajumbe wake wanapatikanaje.
2. Idadi ya wajumbe.
3. Muda wa kazi kabla ya kubadilishwa/kuondolewa ni miaka mingapi.
4. Majukumu/kazi zake.
5. Malipo yao.
Na mengineyo kama yapo.

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Huwa wanateua vizee vya CCM ukienda huko ukiwa na tatizo wanaomba pesa balaa
 
Naomba kufahamu yafuatayo kuhusu Baraza la ardhi la Kata na Baraza la ardhi la Wilaya:
1. Wajumbe wake wanapatikanaje.
2. Idadi ya wajumbe.
3. Muda wa kazi kabla ya kubadilishwa/kuondolewa ni miaka mingapi.
4. Majukumu/kazi zake.
5. Malipo yao.
Na mengineyo kama yapo.
Mkuu Hakuna Baraza la ardhi la Kata Bali Kuna Baraza la Usuluhishi la Kata ambapo Miongoni mwa Mambo yanayoshughulikiwa na Baraza La Usuluhishi la Kata ni Pamoja na kusuluhisha Migogoro ya Ardhi na Nyumba
 
Back
Top Bottom