Baraza Kuu la Waislam (BAKWATA) Lalaani Mlipuko wa Bomu Arusha

Una maana gani mkuu,nyie ndo wale wale tunaosema kila siku kua mnafikirishwa.Sio kila anayevaa suruali ni mwanaume.Jikomboe kwa kuondokana na fikra finyu na potofu zenye chuki dhidi ya Waislam.Sisi sote ni ndugu.Tukisimama pamoja,tukipeana moyo na kufarijiana,bila ya kuangalia huyu dini gani,adui HATAPATA nafasi ya kutuchonganisha.Ila kwa kauli zako hizo,Nivea,nasema Ole tena Ole maana si kila aniambiaye Bwana Bwana ataurithi ufalme wa mbinguni.

Nimeona hapo kwenye blue tu.
 
NAJUA KUNA CD YA SHEKH ILUNGA INASEMA BAKWATA NI TAWI LA KANISA NA MUSFTI NI ASKOFU WA BAKWATAm
 
mie nafikiri bakwata wamelitoa tamko kwa masikitiko na wala hawahusiki na mlipuko kama nivea anavodai. huyu ni PONDA na wenzie akina ILUNGA, bakwata has nothing to do with this. tumekuwa tukishirikiana nao kwa mambo mengi bila matatizo.
 
Baba Mwanaisha mbona hataki, Shekhe Ponda apate mdhamana? BAKWATA inatakiwa kumtetea Shekhe Ponda, anaonewa...
 
Bakwata haiwezi kumtetea Ponda Mkuu, Bakwata iko makini ndo maana watu kama Shekhe Ponda na Ilunga hawawezi kuwakubali Bakwata... Tushirikiane na Bakwata tutajua ukweli wa Uamsho... kuna mashekh kama yule wa Dar es Salaam pamoja na kwamba mimi ni mkristo niliyekata shauri siachi kumsikiliza huwa ndo ananifanya mpaka leo sina chuki na uislamu ila kile kikundi kidogo kinachofadhiliwa na yule kiongozi wa Chama cha upinzani Zanzibar.
 
We kweli nivea.!!. Si bora ukae kmya kuliko kuleta dharau.

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums

Huyo anahitaji msaada kidogo. Nahisi vyombo vya habari vya magharibi vimefanikiwa ku brain wash watu kuhusu "gaidi ni nani" Mwenzetu anazidi kuchochea petroli kwenye moto. In maana BAKWATA wanahusika siyo? Mbona hawajakamatwa?
Watu wengine wanataka huyo Ambrose aachiwe huru kwa sababu jina lake halifanani fanani. Mbegu mbaya sana hii!!
 
Una maana gani mkuu,nyie ndo wale wale tunaosema kila siku kua mnafikirishwa.Sio kila anayevaa suruali ni mwanaume.Jikomboe kwa kuondokana na fikra finyu na potofu zenye chuki dhidi ya Waislam.Sisi sote ni ndugu.Tukisimama pamoja,tukipeana moyo na kufarijiana,bila ya kuangalia huyu dini gani,adui HATAPATA nafasi ya kutuchonganisha.Ila kwa kauli zako hizo,Nivea,nasema Ole tena Ole maana si kila aniambiaye Bwana Bwana ataurithi ufalme wa mbinguni.
i think your mistaken mkuu mimi sio mnafiki kama hao wengine ,we are no more that way no more kabisa
 
Jamani lakini aliyetupa bomu ana jina la Kikristo so sio Wailslam wote wenye roho za chuki
 
Bakwata haiwezi kumtetea Ponda Mkuu, Bakwata iko makini ndo maana watu kama Shekhe Ponda na Ilunga hawawezi kuwakubali Bakwata... Tushirikiane na Bakwata tutajua ukweli wa Uamsho... kuna mashekh kama yule wa Dar es Salaam pamoja na kwamba mimi ni mkristo niliyekata shauri siachi kumsikiliza huwa ndo ananifanya mpaka leo sina chuki na uislamu ila kile kikundi kidogo kinachofadhiliwa na yule kiongozi wa Chama cha upinzani Zanzibar.

Lorah ubarikiwe umenena kweli hii dini ina haribiwa sifa yake na baadhi ya watu(waisilam) wenye mitizamo hasi na dini nyingine,huwa naumia sana waislamu wote tunapowekwa kwenye kundi moja its more than a pain.lakini kwasababu kila mmoja anahaki ya kutoa maoni yake basi unaendelea kuumia na kumuomba Mungu ili(waislam) wenye mitizamo hiyo wakifuate kitabu chetu kwa dhati na si kwa manufaa ya maisha yao hapa duniani
 
Mkuu Nivea tatizo la hawa ndugu wamegawanyika sana...bora sisi wakristo migawanyiko yetu inajulikana kuwa hawa ni waluteri, hawa ni wakatoliki nk...Kwa waislamu wote wanaweza kuwa dhehebu moja lkn hawakubaliani na vyombo au viongozi wao mathalan BAKWATA. wengi ambao tunawaita waislamu wenye siasa kali wanaangukia katika kundi hili. Binafsi siamini kama yupo ambaye sio wa siasa kali anayeweza kuhusika na tukio kama hili so i beg to differ with your statement.
subiri utasikia hizi ni khabari za uvunguni hivi nyie wana jf mnaobishana na mimi mnajua mimi ni nani humu hahahaahahahahahaha
 
Back
Top Bottom