Baraza jipya la mawaziri

akashube

JF-Expert Member
Dec 24, 2009
401
23
Mheshimiwa Jakaya Kikwete amedai kuwa baraza lake jipya la mawaziri halitakuwa na mwanaume hata mmoja. Amesema kuwa kuanzia mawaziri hadi manaibu wote watakuwa wanawake ambapo waziri mkuu atakuwa ni Vicky Kamata.

Hii ni katika kuimarisha usawa wa jinsia nchini.
 
Taratibu za nchi zinasema Waziri Mkuu shurti awe mbunge wa kutoka jimboni, sio ule ubunge wa kuteuliwa au viti maalum kama wa Vicky !
 
Yaap na zinasema baraza zima la mawaziri ni wanawake...waziri lazima awe mwanamke!!! kwa hiyo hata Rais ni lazima awe!!!???
welcome to jukwaa la jokes hili!!!
 
Taratibu za nchi zinasema Waziri Mkuu shurti awe mbunge wa kutoka jimboni, sio ule ubunge wa kuteuliwa au viti maalum kama wa Vicky !

mwaka huu ni kuchakachua kila kitu
 
Mheshimiwa Jakaya Kikwete amedai kuwa baraza lake jipya la mawaziri halitakuwa na mwanaume hata mmoja. Amesema kuwa kuanzia mawaziri hadi manaibu wote watakuwa wanawake ambapo waziri mkuu atakuwa ni Vicky Kamata.

Hii ni katika kuimarisha usawa wa jinsia nchini.
Usawa upi.......??? Ukubwa wa nyeti au.........??? Maana kama ni usawa wa mawazili mbona wote umesema ni wanawale..........???
 
mawaziri wa awamu hii hawatapewa magari, hii ni kupunguza matumizi ya serikali, asiye na gari sasa ndo imetoka hiyo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom