Elections 2010 Baraza jipya la mawaziri: sikiliza ufurahi halafu tujadili

tusikilize wapi kunakotangazwa nifungue redio
this won't be done for atleast 4 more days, so I guess starting such a speculative thread is a no no,let's wait until such time and then we can gabber aLl we want in faint hope tht someone out there listens..and someone with authority!
 
mheshimiwa Zitto kabwe mbunge wa Chadema amepewa ......................

Mjomba Mrisho Mpoto amepewa wizara .......................................
 
Waziri mkuu - Rostam Aziz,
Waziri wa ulinzi - Kinana
Spika - Chenge
Waziri wa mambo ya nje - January Makamba
....
....
 
Waziri mkuu - Rostam Aziz,
Waziri wa ulinzi - Kinana
Spika - Chenge
Waziri wa mambo ya nje - January Makamba
....
....

:nono: jk cn do better than that. nasikia sasa hivi wanampango wa kuongeza vijana, sababu serikali yetu kila siku sura zilezile viongozi walewale hiyo ndio ilisababisha vijana wengi kupiga kura upinzani
 
Back
Top Bottom