Elections 2010 Baraza jipya la mawaziri la Kikwete kuwa kama hili hapa?

The Informer

Senior Member
Jun 14, 2010
119
29
Cabinet mpya hii hapa

Kikwete anatarajia kuchanganya sura mpya chache na za zamani nyingi kwenye baraza lake la mawaziri analotarajiwa kulitangaza wiki ijayo. Aidha huenda akapunguza ukubwa wa baraza lake la mawaziri na kuwa na watu takribani 40 badala ya 60.

Ifuatayo ni orodha ya mawaziri wake watarajiwa.

SURA ZA ZAMANI KURUDI

1. Waziri Mkuu Mizengo Pinda
2. Waziri wa Mambo ya Nje Bernard Membe
3. John Magufuli (atapewa Wizara ya Miundombinu au nyingine muhimu)
4. John Mkuchika (swahiba wa Kikwete)
5. Prof. Mark Mwandosya
6. Dr Hussein Mwinyi
7. Prof. David Mwakyusa
8. Dr Shukuru Kawambwa (swahiba wa Kikwete)
9. Prof. Juma Kapuya (swahiba wa Kikwete)
10. Dr Mary Nagu
11. Dr. Mathayo David Mathayo (Waziri wa Kilimo)
12. John Chiligati
13. Khamis Kagasheki
14. Lucy Nkya
15. Mustafa Mkulo
16. Hawa Ghasia
17. Sofia Simba
18. Mathias Chikawe
19. Omar Yusuf Mzee
20. William Ngeleja

SURA MPYA chache

1. Prof. Anna Tibaijuka (Waziri wa Ardhi au Maliasili/Utalii)
2. January Makamba (naibu waziri foreign au afrika mashariki, baadaye kuwa full minister)
3. Anne Makinda (full minister iwapo atakosa kuwa spika)
4. Lazaro Nyalandu (naibu waziri, swahiba wa jk)
5. Athuman Rashid Futakamba
6. Zakia Meghji (asante yake kwa kuchangisha pesa za kampeni za CCM)
7. Amos Makala (naibu waziri)
8. Mbunge wa kuteuliwa1
9. Mbunge wa kuteuliwa2
10. Mbunge wa kuteuliwa3

CONCLUSION: Cabinet 'mpya' ya Kikwete itakuwa ni mvinyo ule ule mchachu wa zamani kwenye chupi mpya. Watanzania tutarajie miaka 5 zaidi ya mateso chini ya utawala wa Dokta (asiye na PhD) Kikwete.

Source: Tetesi za maofisa serikalini
 
Ifuatayo ni orodha ya mawaziri wake wataraji

OK!
 
hatuwezi kutegemea jambo jipya toka kwake zaidi ya kulipa fadhila kwa maswahiba na kuendeleza ufisadi. ukizingatia hii ni ngwe ya lala salama "chukua chako mapema" Kama wamu ya kwanza ilikuwa ya ugwadu wa embe mbichi hii itakuwa ya uchungu wa mwarobaini!
 
Apange anavyojua yeye hii nchi yake wengine tumepanga tuu!
 
Namba 19 si keshateuliwa na Shein kuwa Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi? Nadhani hawezi tena kuteuliwa Muungano, labda Shein atampa uWaziri visiwani.
 
This will be the most 'hopeless' cabinet! Hivi huyu jamaa hawezi kubadilika akaweka watu credible kwenye cabinet yake? Inaudhi sana. Nchi hii haitapiga hatua ya maendeleo iwapo huyu jamaa ataendekeza uswahiba.
 
Cabinet mpya hii hapa

Kikwete anatarajia kuchanganya sura mpya chache na za zamani nyingi kwenye baraza lake la mawaziri analotarajiwa kulitangaza wiki ijayo. Aidha huenda akapunguza ukubwa wa baraza lake la mawaziri na kuwa na watu takribani 40 badala ya 60.

Ifuatayo ni orodha ya mawaziri wake watarajiwa.

SURA ZA ZAMANI KURUDI

1. Waziri Mkuu Mizengo Pinda
2. Waziri wa Mambo ya Nje Bernard Membe
3. John Magufuli (atapewa Wizara ya Miundombinu au nyingine muhimu)
4. John Mkuchika (swahiba wa Kikwete)
5. Prof. Mark Mwandosya
6. Dr Hussein Mwinyi
7. Prof. David Mwakyusa
8. Dr Shukuru Kawambwa (swahiba wa Kikwete)
9. Prof. Juma Kapuya (swahiba wa Kikwete)
10. Dr Mary Nagu
11. Dr. Mathayo David Mathayo (Waziri wa Kilimo)
12. John Chiligati
13. Khamis Kagasheki
14. Lucy Nkya
15. Mustafa Mkulo
16. Hawa Ghasia
17. Sofia Simba
18. Mathias Chikawe
19. Omar Yusuf Mzee
20. William Ngeleja

SURA MPYA chache

1. Prof. Anna Tibaijuka (Waziri wa Ardhi au Maliasili/Utalii)
2. January Makamba (naibu waziri foreign au afrika mashariki, baadaye kuwa full minister)
3. Anne Makinda (full minister iwapo atakosa kuwa spika)
4. Lazaro Nyalandu (naibu waziri, swahiba wa jk)
5. Athuman Rashid Futakamba
6. Zakia Meghji (asante yake kwa kuchangisha pesa za kampeni za CCM)
7. Amos Makala (naibu waziri)
8. Mbunge wa kuteuliwa1
9. Mbunge wa kuteuliwa2
10. Mbunge wa kuteuliwa3

CONCLUSION: Cabinet 'mpya' ya Kikwete itakuwa ni mvinyo ule ule mchachu wa zamani kwenye chupi mpya. Watanzania tutarajie miaka 5 zaidi ya mateso chini ya utawala wa Dokta (asiye na PhD) Kikwete.

Source: Tetesi za maofisa serikalini

Omari Yusuph Mzee siyo mbunge ni mjumbe wa kuteuliwa wa baraza la wawakilishi na huenda akahudumu katika serikali ya mapinduzi. Cyril Chami yeye umemwacha wapi?
 
CONCLUSION: Cabinet 'mpya' ya Kikwete itakuwa ni mvinyo ule ule mchachu wa zamani kwenye chupi mpya. Watanzania tutarajie miaka 5 zaidi ya mateso chini ya utawala wa Dokta (asiye na PhD) Kikwete.

Source: Tetesi za maofisa serikalini

Nadhani ulikuwa unaimanisha Chupa....Kingwangwala na Dr Ndugulile hawana shavu la mama Salma?
 
Nakuambia hautaamini. Mzee mzima asawoL atakapopewa uwaziri. Huyu jamaa (JK) haaminiki!
 
Nafikiri umemsahau Mh. Cyril Chami kwenye hiyo list!!!!

Tiba
 
Back
Top Bottom