Wa TZ naomba tuwe wavumilivu kidogo.Hapo inaonyesha dhahiri mchakato bado unaendelea ndani kwa ndani kadri muda unavyoendelea.Hiyo ni sign nzuri tuu.Ninahisi jana aliwateua ila marekebisho bado yanaendelea hata kama ikifikia next week poa tuu. Maana muda wakujaribu jaribu hana tena sasa hivi!!! Mpeni muda kama anavyosemaga...