Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,631
- 4,225
Baraza la Mawaziri limekuwa gumzo hasa; nasikia JK anafanya mawasiliano na Wapinzani kuwa ndani ya Baraza, sijui ni za kweli soma Tanzania Daima ya leo.
Hio sio poa kaka maana upinzani lazima wawepo upinzani na kufanya kama wapaswavyo.We need a robust opposition to put the govt in check.Upinzani ukiungana na serikali nd'o basi tena kwa walalahoi!