Barakoa inapovaliwa kama fashion nini faida yake?

mwanadome

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
4,910
5,255
Uvaaji wa barakoa imekua ni changamoto nyingine tena kubwa kati vita hii ya kuishinda covid 19.

Wapo wengine tuu huivaa kwa kufunika mdomo na kuacha pua likiwa wazi, huku wengine wakiazishusha kabisa chini ya kidevu na kuzifanya zining'inie tuu . je kwa uvaaji huuu mamlaka za afya hazioni kua elimu bado inahitajika. ?

Mfano askari kama huyo anaweza kua na msaada wowotee kwa raia juu ya vita hii ya covid 19? .
FB_IMG_1587906667268.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi tu wanafanya mizaha, ni wachache mno wanavaa kwa nia thabiti ya kujikinga... nasema ni wachache mno.
 
Back
Top Bottom