Barakah The Prince afananisha menejiment ya zamani na nyumba ya udongo

homboyz

Senior Member
Oct 19, 2016
127
139
Msanii wa kizazi kipya baraka andrew almaarufu Barakah The Prince amekana kurudi katika menejiment yake ya zamani wakati akihojiwa katika kituo cha redio ya clouds fm,
hapo hapo ametumia muda huo kuifananisha menejiment hiyo na nyumba ya udongo

====================================================

Msanii wa kizazi kipya baraka andrew almaarufu Barakah The Prince amekana kurudi katika menejiment yake ya zamani wakati akihojiwa katika kituo cha redio ya clouds fm,

upload_2017-3-28_16-20-26.jpeg


Pia alifananisha kurudi kwenye menejiment yake ya zamani sawa na kujenga ghorofa na kulibomoa na kwenda kuishi kwenye nyumba ya udongo, hayo yamesemwa leo katika kipindi cha xxl cha clouds fm,

Vip wewe shabiki yake unazungumziaje menejiment hii ya barakah ukiiangalia ile aliyoanza nayo muziki ?

Je kwa hapa alipo rocstar 4000 ni sawa na ghorofa kurudi kwenye menejiment yake ya mwanzo tetemesha entertainment ni sawa kurudi kwenye nyumba ya udongo ?



Source; wabongowatz.blogspot
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom