Baraka Mpenja hujapata 'connection' ya kutangaza Kombe la Dunia?

goroko77

JF-Expert Member
Jul 9, 2019
8,815
12,875
Nimekuwa nikifatilia michuano hii mikubwa Duniani kwa lugha yetu ya Kiswahili.

Mimi shabiki wako kindakindaki sijakusikia kabisa ukiunguruma sauti ya radi, mwamba wa rumalila kutangaza mpira huu. Nimemsikia, Georg Ambagile Wasafi FM, Maulid Kitenge EFM, Ahmed Wasafi, Edgar Kibwana CMG.

Ila wewe sijakusikia kabisa, vipi umekosa connection au ndiyo tuseme mwajiri wako mkuu Azam Media hawajakupa ruhusa au wamekuonea gere tu?

Ingependeza sana upewe mechi zote za nusu fainali.
 
B. Mpenja hata kibarua chake pale Azam ni cha kusuasua kwasasa kama utakumbuka kuna kipindi alikaa muda mrefu bila kutangaza lakini Ukweli ni kwamba aliingia doa na Boss wake(Alisimamishwa kazi)ilikuwa kuhusu Mpenja TV.

Yaani bosi aligoma haiwezekani uwe na mpenja TV na Azam TV wakati maudhui ni yaleyale yanafanana. Sekeseke likaendelea mwisho wakakubaliana ni Side hustle lakini naona kabisa Boss alikubali kwa shingo upande ndomaana dili kama hizi zinampita.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Kumbe anataka kumzunguka boss Tena na. Tv yake ale matangazo kwa boss anayempa mshahara
 
Mkuu.

1. Baraka anajiita Mwamba wa Umalila.
Na si ulichokiandika wewe.

2. Baraka Mpenja ni MTANGAZAJI Very Locally yani level yake Bado ni NBC, AZAM federation, na Mapinduzi Cup.

3. MTANGAZAJI Bora kabisa wa MICHEZO Mikubwa,WC UEFA, CAF nk ni GHALIB MZINGA.

MZING NDIYE MTANGAZAJI BORA KABISA WA MICHEZO YA KIMATAIFA.

Mpenja ni WA hapa hapa.
Tena anaungaunga tu.
 
Acha fitina jamaa Mbna Yuko vzr tu

Asalemaaa leykum dar es Salam baraka pia amenogesha mpira wetu upendwe

Kataa kubali jamaaa anajuwa pia Ni msomi
 
Ila Kitenge hana mvuto kabisa kwenye kutangaza soka siku akitangaza yeye anaboa Sana, hana details za wachezaji, hajui kuchambua, sijui kwanini watu competant huwa hawapati fursa kama hizi.
Mropokaji mzuri sana
 
Mkuu.

1. Baraka anajiita Mwamba wa Umalila.
Na si ulichokiandika wewe.

2. Baraka Mpenja ni MTANGAZAJI Very Locally yani level yake Bado ni NBC, AZAM federation, na Mapinduzi Cup.

3. MTANGAZAJI Bora kabisa wa MICHEZO Mikubwa,WC UEFA, CAF nk ni GHALIB MZINGA.

MZING NDIYE MTANGAZAJI BORA KABISA WA MICHEZO YA KIMATAIFA.

Mpenja ni WA hapa hapa.
Tena anaungaunga tu.
Mleta mada kuna mahali amemshandanisha na Gharib? Kitenge anajiumauma lakini anatangaza, kipi kitamshinda Mpenja? Chuki ndo sabuni ya roho yako
 
Back
Top Bottom