mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,223
- 4,681
Ipo wazi kwa sasa muziki wa bongofleva ni wa Diamond Platinumz. Uku kukiwa na Kiba pembeni anayesimama kwa nguvu ya Diamond anae survive kwa ushindani aliotengeneza unaofanya watu wanamkumbuka wakiangalia kazi za Diamond.
Ila kila chenye mwanzo kina mwisho, Diamond anamalizia muziki wake ingawa anajitahidi amwachie kijiti msanii wake Harmonize lakini ni wazi hii game inaenda kuwa ya Baraka Da Prince.
Kwa ambao awajamstukia Baraka mumwangalie kwa makini huyu mfalme mpya wa Bongofleva, ana kila kitu kinachofanya awe staa wa hii game. Just watch his steps.