Baraka Da Prince akasirishwa na utani wa Stan Bakora

Aache mambo ya kijinga,mbona abroad kina butthurt,ol weird,kevin hart wanautani zaidi ya huo lakini hamna shida yoyote kutokana na parody wanazofanya... dah bongo bado sana
 
Mpaka leo hamjawazoea wasani wa tanzania tu mnadanganyika na instagram
Baraka na stan hawana ugomvi wowote
 
Msaniii baraka Da prince amekasirishwa na kitendo cha mchekesahaji stan Bakora kumuigiza rangi yake kwa kupaka masizi uso wake akimaanisha ndie baraka
Baraka alisema hicho ni kitendo cha kukejeli rangi yake wakati yeye anaipenda
msanii Stan Bakora aliigiza nyimbo ya baraka aliyoimba na Ali kiba kwa staili ya kichekesho (parody) na anadai walikuwa wamekubaliana na baraka na akamshangaa baraka kulalamika na kusema hizo ni tabia za kike





STAN.jpg
baraka.jpg
 
Mi nadhani labda anataka kubust ngoma yake na alikiba.Coz ile ngoma kiukweli haijashika sana ukilinganisha na nyimbo za nyuma kama siwezi, jichunge, nivumilie.......
 
Na watu wakijua unachukia kitu fulani ndio wanajua udhaifu wako, wakitaka wakukere wanakupiga palepale, ajikubali tu. Mbona totoz wanamzimia na rangi yake hiyo
 
baraka anadhidi kushuka thamani ndani ya kichwa changu, huyu dogo kiukweli ustar unataka kumshinda nguvu mana naskia pia ni mtu wa kujiskia na dharau sana yn.
mbona me naona kama anapanda sana kimuziki tangia amekuw na kiba anazungumziwa sana siku hizi nyimb tatu tu yule je yule mwenzie mo music
 
Hivi kweli jamaa anapata kiki na kupiga noti kwa kutumia kaz za wengine!!! hata kama wamekubaliana ainishe aina ya jokes anayotaka kufanya ili kuepuka uhasama kujitokeza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom