miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,821
- 48,969
mara chai jaba.. wnamchora domo lake kama linashuka lakini bado anajiamini na kujita sukari ya warembo tehMbona mond amesemwa saaaanaaa wamemuita kila aina ya majina mara domo mara ooh kinywa mara Wamuedit mdomo wake lakn sijasikia hata siku moja akamaind kwl mond ni star