Baraka Da Prince akasirishwa na utani wa Stan Bakora

vampire_hunter007

JF-Expert Member
Jul 25, 2015
1,034
2,562
Habari wakuu...

Huyu kijana nimekuwa nikiona watu wengi wakimdiss lakini sasa naamini baada ya kutokwa povu na kummind Stan Bakora kisa kucreate cover video ya wimbo wake na kujipaka masizi usoni kutengeneza uhalisia wa weusi wa Baraka. Stan ni mchekeshaji kama walivyo wengine kina Mpoki, nk ambao wamekuwa wakiwaigiza watu tofauti tofauti katika hali ya utani. But huyu dogo amemind na kumchana jamaa wazi wazi katika instagram yake.

Acha kumind vitu vidogo wewe.... Be a man
Screenshot_2016-10-10-06-52-24.png




 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom