Baragumu live channel ten na vipindi vya ngono asubuhi

nkosikazi

JF-Expert Member
Mar 11, 2010
359
334
Mara nyingi sana huyu mtangazaji wa channel ten kipindi cha baragumu live amekuwa akimwalika kijana mmoja huyo huyo aje kuzungumza mambo nyeti yasiyo na staha yoyote kuhusu viungo vya siri na tendo la ndoa.

Kipindi kiko asubuhi saa 1 wakati watoto wetu wako macho kabisa na ndo wanajiandaa mambo ya asubuhi.

Nashindwa kuelewa kama regulatory authority wameliona hili au hawajaliona? Au kwao kila kitu ni sawa tu?

Inashangaza sana!
 
Haya mambo ni kama serikali inauafumbia macho maana kama Chanel ya EATV inarusha miziki ya aibu tupu mara nyingi na huwa najiuliza kuwa Reginald Mengi pamoja na serikali hawalioni hili? STAR TV nayo huwa ina mchezo huo.
Hapa kwa kweli maadili yanazidi kuporomoka maana mtu wa kuyakemea haya hayupo na ukizingatia bungeni wanongelea mambo mengi ila haya ya maadili wanapiga kimya. I DON'T KNOW WHY.
 
Hakuna mtu anayesumbua ubongo wake na kuamua kuchukua hatua. Wanaamini kuwa maadili yanaporomoka yenyewe tu!
 
Sasa mnavyotaka Elimu ya Afya ya uzazi ifundishwe mnafkiri yanayofundishwa ni yapi!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom