barafu wa moyo,ananiambia turudie kuwa marafiki

Mr Mayunga

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
313
40
Habari zenyu bana!inasikitisha kidogo,juzi usiku nimepokea sms kutoka kwa mpenzi wangu ananishauri tuwe marafiki kama zamani.Nilijaribu kumtafuta nimuulize,nilimpata kwenye simu hakutaka kuongea na mm kwa muda mrefu.Hii kauli yake inamaana gani?
 
hiyo barafu inakaribia kuyeyuka
 
yaani kama wewe ni manchester utd ujue kuwa howard webb kastaafu...........kimenuka
 
Mbona jambo la kawaida sana hilo!Kakupa angalizo kuwa anataka muwe kama zamani ili kama kuna sehemu mlikosea katika uhusiano wenu basi muweze kurekebisha,alichokosea tu ni njia aliyotumia kukufikishia ujumbe,bado una nafasi ya kukaa na kuzungumza nae maana hajaweka uadui na wewe kama ilivyo kwa wengine.
 
Kuachwaa kuachwaa kuachwaa ni ....,inafikia kipindi hata marafiki zangu wa karibuuu,unawaona wabayaaa..
unawaona hawafaiiii,am just singing mkuu
 
Habari zenyu bana!inasikitisha kidogo,juzi usiku nimepokea sms kutoka kwa mpenzi wangu ananishauri tuwe marafiki kama zamani.Nilijaribu kumtafuta nimuulize,nilimpata kwenye simu hakutaka kuongea na mm kwa muda mrefu.Hii kauli yake inamaana gani?

hakutaki, amekwisha mpata mwingine & tafuta mwingine
 
inaonyesha bado unampenda sana kama uliachana nae kwanini uaanze kuifuatilia kauli na the worst thing yeye ana kujaribu tu aone unavyohangaika ndo maana hataki kukueleza vizuri wanaiita mlete karibu. sasa cheki hadi unakuja kujiuliza hapa kwa sentensi fupi hiyo

kaa kimya hadi yeye atakapo jieleza mwenyewe aina ya urafiki anaoutaka
 
usione soo sema nae laiv,mwambie kimetokea nini hadi aseme muwe kama zamani inshort akupe clearly status of who u r to her, if mpenzi au rafiki ,nacctiza akujibu kwa kiswahili asije sema boyfrend maana inatupa ugumu kuitafsiri bado utakua njiapanda buree
 
Habari zenyu bana!inasikitisha kidogo,juzi usiku nimepokea sms kutoka kwa mpenzi wangu ananishauri tuwe marafiki kama zamani.Nilijaribu kumtafuta nimuulize,nilimpata kwenye simu hakutaka kuongea na mm kwa muda mrefu.Hii kauli yake inamaana gani?

umebwagwa mennn!!!!!
 
bora kakwambia kuliko angekufanyia visa ukabaki na maswali mengi yasiyo na jibu
 
Habari zenyu bana!inasikitisha kidogo,juzi usiku nimepokea sms kutoka kwa mpenzi wangu ananishauri tuwe marafiki kama zamani.Nilijaribu kumtafuta nimuulize,nilimpata kwenye simu hakutaka kuongea na mm kwa muda mrefu.Hii kauli yake inamaana gani?

kusoma haujui, hata picha unashindwa kuelewa? anamanisha hakutaki tena, au inaonekana huna nia ya dhati ya kumuoa ila unamchezea tu, au inawezekana amepata mwanamume ambaye anamjali tofauti na wewe?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom