Baracka Mpenja'Sports Commentator n'nae mkubali zaidi Bongo'

princemikazo

JF-Expert Member
Jan 10, 2019
2,197
2,051
"Chama anza vizuri kwake Bocco Bocco ana'turn vizuri kabisa pale .Pembeni Kwake Hassan Dilunga HD..Dilunga mwaga ndani kuleee Cluuuuuuuuuuu.....Maajabu!!!,Maajabu!!!,(Anakaa kimya kama dakika mbili. hivi).....Haya ni maajabu linafungwa goli gani hili??Macho yako yameona kama mimi.!?...Nauliza Macho yako yameona kama mimi..?!....Nani walisema Simba hawaendi Hatua ya Makundi..!!??".
Mpe neno moja huyu Jombaa ni moja ya Watangaza mpira live bora hapa Bongo kwa era hii kutoka Azam Media.
@ChaliiYaKijengeJuu.
 
Attachments

  • Aah.JPG
    Aah.JPG
    15.6 KB · Views: 27
"Asalaam Alyekum Dar Es Salaam, Asalaam Alyekum Tanzania, Asalaam Alyekum Afrika Mashariki na kati, Asalaam Aleykum Ulimwengu wa soka....Popote pale unapotupata....Karibu sana kwenye Mtanange 'Bab kubwa'...Mtanange wa hadhi kubwa....Mtanange wa watani jadi, wengine huita 'Dabi ya Kariakoo', Wekundu wa Msimbazi Simba, Mfalme wa Nyika na Mabingwa wa kandanda Tanzania, wakikabiliana na Mabingwa wa Kihistoria wa Soka la Tanzania, Young Africans, Timu ya Wananchi....... Tupo Live kutoka Uwanja wa Taifa Dar Es Salaam...Hakika umefanyika Usajili mkubwa kwa timu zote na maandalizi mazito....Nani kuibuka na pointi tatu?, tuna nafasi ya kushuhudia wakali hawa wa Kariakoo wakipepetana Dimbani"....Mimi ni Baraka Mpenja, Sauti ya Radi' mwenzangu ni James Samwel, kuwa nasi kwa dakika tisini za kipute hiki".

Much respected MPENJA
 
'Emanuel mvyekule aamuwekea Habib Haji Kyombo anamwambia mwanangu chukua hio, Habib Haji Kyombooo
happy new year, happy new year wasukuma wanasema waveja kulumpa waveja kulumpa'
alinikosha sana siku hii vyura wanakufa kwa Mbao kirumba
 
Huyu bwana na kuna yule mwingine anaitwa Kidedea nafikiri.. Wana talanta ya utangazaji.. Ukichangia na darasani basi burudani.
 
"Asalaam Alyekum Dar Es Salaam, Asalaam Alyekum Tanzania, Asalaam Alyekum Afrika Mashariki na kati, Asalaam Aleykum Ulimwengu wa soka....Popote pale unapotupata....Karibu sana kwenye Mtanange 'Bab kubwa'...Mtanange wa hadhi kubwa....Mtanange wa watani jadi, wengine huita 'Dabi ya Kariakoo', Wekundu wa Msimbazi Simba, Mfalme wa Nyika na Mabingwa wa kandanda Tanzania, wakikabiliana na Mabingwa wa Kihistoria wa Soka la Tanzania, Young Africans, Timu ya Wananchi....... Tupo Live kutoka Uwanja wa Taifa Dar Es Salaam...Hakika umefanyika Usajili mkubwa kwa timu zote na maandalizi mazito....Nani kuibuka na pointi tatu?, tuna nafasi ya kushuhudia wakali hawa wa Kariakoo wakipepetana Dimbani"....Mimi ni Baraka Mpenja, Sauti ya Radi' mwenzangu ni James Samwel, kuwa nasi kwa dakika tisini za kipute hiki".
Much respected MPENJA
Naaam balabalaa kabisa mkuu umeona eeh..!!Samuel James nae kwenye uchambuzi yuko vyedi sana.
 
'Emanuel mvyekule aamuwekea Habib Haji Kyombo anamwambia mwanangu chukua hio, Habib Haji Kyombooo
happy new year, happy new year wasukuma wanasema waveja kulumpa waveja kulumpa'
alinikosha sana siku hii vyura wanakufa kwa Mbao kirumba
Hahaha Daah ni nouma.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom