Barack Obama ashauri Tanzania kutangaza Vivutio vya Utalii: Serikali yatumia Dreamliner kutangaza Kilimanjaro

Mgambilwa ni mntu

JF-Expert Member
May 30, 2017
2,869
3,188
Kufuatia kumalizika kwa Ziara ya kitalii ya siku nane (08) nchini Tanzania, Rais Mstaafu wa Marekani, Barack Obama ameishauri Tanzania kuvitangaza vivutio vyake vya kitalii. Vilevile, ameahidi kuwashawishi marafiki zake nao waje Tanzania kujionea vivutio vyake.
Ushauri huo wa Obama unaendana na jitihada za Serikali ya Rais Magufuli kukuza sekta ya utalii nchini kwa kuamua kufufua Shirika lake la Ndege - ATCL. Dreamliner mpya iliyonunuliwa hivi karibuni, ina nembo ya mnyama Twiga, pamoja na Motto "The Wings of Kilimanjaro."
Mdogo mdogo tu watatuelewa wazee. Peleka Dreamliner huko Guangzhou, Bangkok na Mumbai na uwalete Wachina, Wathailand na Wahindu, then nenda Entebbe na Bujumbura uwalete pia Waganda na Warundi kwetu. Ilete Dunia yote nchini Tanzania.
 
Yaani hapo mwisho umemalizia kana kwamba hiyo ndege ikiwa imepark huko kwenye viwanja vya hizo nchi abiria ni nyomi kiasi kwamba ni kujaza tuu na kusepa kama pale Ubungo wanavuosemaga "Arusha moja hiyo na Kidia One".
 
Ndege mmoja iende Guangzhou, Mumbai na Bangkok duh!!!?! Sio siri Lumumba kuna kiwanda cha matahira
 
Waongezee tu na neno 'The home of Serengeti' baada ya hilo neno 'The wing of Kilimanjaro'.

Hivyo itasomeka 'The wing of Kilimanjaro & Home of Serengeti'. Halafu 'Hapa Kazi Tu'. Au hilo neno neno la 'Hapa Kazi Tu' liwe replaced by 'Home of the Serengeti'.

Tuendelee kushauri. Hata huyo twiga tunaweza ku replace na mnyama mwingine ambaye tunafikiri ana kivutio zaidi kwa watalii wa sasa. Au tukaongeza picha zingine hususani za great migration kwenye mbavu za dream liner yetu, kwenye mkia akabaki huyo twiga! Hivyo muonekano wa dreamliner yetu utaonekana ni ndege mahususi kwa ajili hasa ya utalii kwenye nchi yetu ya Tanzania. Haya ndiyo mabadiliko.
 
Waziri wa utalii yuko bize ma kupiga selfie akiwa ma gwanda za askari wa wanyamapori na bunduki zao. Nahisi hajawai kutoka angalau hata Kenya kutangaza vivutio vyetu
 
Kufuatia kumalizika kwa Ziara ya kitalii ya siku nane (08) nchini Tanzania, Rais Mstaafu wa Marekani, Barack Obama ameishauri Tanzania kuvitangaza vivutio vyake vya kitalii. Vilevile, ameahidi kuwashawishi marafiki zake nao waje Tanzania kujionea vivutio vyake.
Ushauri huo wa Obama unaendana na jitihada za Serikali ya Rais Magufuli kukuza sekta ya utalii nchini kwa kuamua kufufua Shirika lake la Ndege - ATCL. Dreamliner mpya iliyonunuliwa hivi karibuni, ina nembo ya mnyama Twiga, pamoja na Motto "The Wings of Kilimanjaro."
Mdogo mdogo tu watatuelewa wazee. Peleka Dreamliner huko Guangzhou, Bangkok na Mumbai na uwalete Wachina, Wathailand na Wahindu, then nenda Entebbe na Bujumbura uwalete pia Waganda na Warundi kwetu. Ilete Dunia yote nchini Tanzania.
Huyu jamaa bana
 
Uzi umekaa kishabiki sana
Unadhani kuandika the wings of kilimanjaro ndio kutangaza utalii ?
Hapo mass media lazima itumike pamoja na njia mbali mbali

Emu lipeleke li dream liner lenu china kama wachina watakuja bila ya kuwatangazia kwa vyombo vya habari

NB
sipingi juhudi za maendeleo,lakini inatakiwa lumumba mtumie akili kidogo
 
Yaani hapo mwisho umemalizia kana kwamba hiyo ndege ikiwa imepark huko kwenye viwanja vya hizo nchi abiria ni nyomi kiasi kwamba ni kujaza tuu na kusepa kama pale Ubungo wanavuosemaga "Arusha moja hiyo na Kidia One".
 
Kuandika "hapa kazi tu" ndio kutangaza utalii?

Ina maana mlikuwa mnasubiri Obama awashauri ndio mjue umuhimu wa kutangaza utali?
Yaani hawa watu ni zero kabisa, eti mpaka Obama aje awaambie tangazeni utalii ndiyo na wao wanajifanya wamezinduka.
Uprimitivu ni kitu hatari sana

Huu ni umasikini mkubwa Kwa taifa.
Obama kaja juzi hapa mtu hajui hata namna ya kumingo na jamaa atumie kama free chance ya kujitangaza.

Obama anapopita popote pale dunia inamuona, hii ilikuwa ni chance nzuri sana ya kukaa na kuongea nae even for some minutes tu lazima kina BBC, DW, Aljazeera etc watakuona na kuongea kitu.

Hiyo ni tosha kabisa kusikia huko nje lkn leo hii kuna mahali ukienda watu hawajui kitu inaitwa Tanzania, when u talk about East Africa wanakwambia also known as Kenya.

Ujinga, maradhi na umasikini tumeukumbatia vizuri sana watanzania
 
Ndege mmoja iende Guangzhou, Mumbai na Bangkok duh!!!?! Sio siri Lumumba kuna kiwanda cha matahira
Siyo kidogo, mijinga ndiyo inayogambania madaraka ya kuendesha nchi sasa imepewa ni kuvurunda tu kila mahali
 
Kufuatia kumalizika kwa Ziara ya kitalii ya siku nane (08) nchini Tanzania, Rais Mstaafu wa Marekani, Barack Obama ameishauri Tanzania kuvitangaza vivutio vyake vya kitalii. Vilevile, ameahidi kuwashawishi marafiki zake nao waje Tanzania kujionea vivutio vyake.
Ushauri huo wa Obama unaendana na jitihada za Serikali ya Rais Magufuli kukuza sekta ya utalii nchini kwa kuamua kufufua Shirika lake la Ndege - ATCL. Dreamliner mpya iliyonunuliwa hivi karibuni, ina nembo ya mnyama Twiga, pamoja na Motto "The Wings of Kilimanjaro."
Mdogo mdogo tu watatuelewa wazee. Peleka Dreamliner huko Guangzhou, Bangkok na Mumbai na uwalete Wachina, Wathailand na Wahindu, then nenda Entebbe na Bujumbura uwalete pia Waganda na Warundi kwetu. Ilete Dunia yote nchini Tanzania.
Kiwanda cha Mataahira Lumumba.
 
Mama Tanzania atakubariki kwa kuwa umembariki!
Hiki kitendawili majamaa wengi hawaipati!
Hakika nchi yetu itaendelea sana na sky is not a limit in our country!
Majumba yanajengwa kila kona!
Investors wanafurika!
Last week nimeingia mkataba na watu wa Finland!
Big project walahi!
Focus people!
Tourism ndiyo lazima itapanda sana maana nchi zote za Africa hakuna palipo na amani kama kwa MAMA TANZANIA walahi!
 
Back
Top Bottom