Barack Obama amuomboleza bibi yake kutoka Kenya kwa kuandika maneno haya

Hujui kama chato kuna national park?? Sikia nikuambie jirani. Sgr ni lazima iishe ATC imepata hasara ya bil 60 while kQ imepata hasara ya bil 700 nani ana hasara zaidi??? Doller 300m unajenga nyumba ngapi pale kibera wanyonge wakaishi kama binadamu wengine??

Kwa hivyo ndege kubwa kubwa za kimataifa zitatua Chato kushusha watalii kuja kuona wanyama...hehehe haya bana.
ATCL mlituambia mnapokea gawio la faida, leo mnaumbuka....
 
Private citizen - a citizen who does not hold any official or public position....
Huyu hakua na ofisi yoyote kwenye uongozi wa nchi hii, hivyo sisi kama raia wa nchi hii hatuna haki ya kulazimisha kupewa taarifa za nini kilimsibu, iwe corona au la.
Huyo sio private,huyo ni bibi wa RAIS wa USA yeye tayari ni public figure na hata nyumba anayoishi inalindwa serikali sababu mjukuu wake OBAMA serikali yake ilikuwa inachukiwa na magaidi.

HUYO KAFA KWA CORONA NDIO MAANA HAWATANGAZI SABABU YA KIFO CHAKE.
 
Kwa hivyo ndege kubwa kubwa za kimataifa zitatua Chato kushusha watalii kuja kuona wanyama...hehehe haya bana.
ATCL mlituambia mnapokea gawio la faida, leo mnaumbuka....
Mbuga mbili za wanyama mgondi mkubwa wa dhahabu ambao life span yake inakadiriwa kuwa 30-40 yrs pesa inarudi tuu pia haimaanishi uwanja upokee ndege kubwa wala ndogo huwezi jua kesho.
 
Huyo sio private,huyo ni bibi wa RAIS wa USA yeye tayari ni public figure na hata nyumba anayoishi inalindwa serikali sababu mjukuu wake OBAMA serikali yake ilikuwa inachukiwa na magaidi.

HUYO KAFA KWA CORONA NDIO MAANA HAWATANGAZI SABABU YA KIFO CHAKE.

Nimekuambia huyo hana "public office", sio administrator na hana wadhifa wowote kwenye civil service, mimi kama mlipa kodi sijamuajiri hivyo sina kigezo chochote cha kudai haki ya kuambiwa kilichomsibu. Angekua rais wa nchi, ningelazimisha maana kodi yangu imemuajiri kwenye ofisi yake ambayo ni taasisi.
Kwa huyu mama kulindwa na polisi, hilo hufanywa kwa any private citizen with strategic importance,.
Taarifa za bibi kufa kwa corona au la itatolewa na wanafamilia pale wakiona umuhimu wowote kwa umma.
 
Huyo bibi analindwa na askari wenu wa Kenya,amabao wanalipwa mishahara kwa kodi zenu.

HUYO KAFA KWA CORONA ILA MNAFICHA.
 
Polisi tunaowalipa kwa kodi zetu ni watumishi wa umma, hivyo mimi ni bosi wao na nina haki kikatiba na kisheria kujua iwapo yeyote kati yao anaumwa corona.
Likija kwa kazi zao, wao hutulinda sote kwa mujibu wa sheria, na inaruhusiwa kwa wao kumpa ulinzi maalum mwananchi yeyote ambaye itatajwa kwamba ana umuhimu kimikakati, strategic importance. Kama vile pia wao husindikiza magari ya mabenki binafsi pale yanasafirisha hela.
Haki yangu inaishia tu kwa mtumishi wa umma ambaye ni muajiriwa wangu, ila zaidi ya hapo sina haki.
 
Huyo kafa Corona.
 
Yaani ukweli usemwe Obama ni one of the kind manake kuna mitoto baba na mama miafrika ila kuja hata kutembea haitaki. Big up brother Obama na pole kwa kuondokewa na Granny Sarah.

🐐 Mbuzibee
It depends na sisi wazazi. Unakuta mzazi kachanganya damu Ulaya ama Marekani, analowea miaka 30 hajawahi kanyaga uswazi, mtoto ataanzaje kuja kujileta mwenyewe ilhali hilo ni jukumu la mzazi wake kumleta kwao?
 
Hapo kweli, mtoto hawezi jileta pahali hapajui, hilo lilikuwa jukumu la mzazi kurudi 'Home'
 
Back
Top Bottom