Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 3,882
- 5,338
Imenipendeza kutoa maoni yangu kupitia jamiii forum.
Hapa Dodoma imekuwa jiji na makao makuuu ya nchi. Ushauri wangu kwa wahusika, barabara kuu kutoka Dodoma kwenda Dar ni ya siku nyingi sana.
Hivyo ujio huu wa makao makuu imezidiwa sana na magari,hasa kipindi cha asubuhi na jioni na kusababisha msongamano mkubwa sana!
kwa nini msifanye maamuzi ya haraka kuzitanunua na kuzitengeneza kwa kiwango cha lami njia za kisasa kwenda stand kuu ya nabasi hadi ihumwa,.Maana hii barabara kuu ni mpango wa zamani kabla hata halijawa jiji.
Naomba kuwasilisha.