Barabara za Makao Makuu Dodoma

Kimwakaleli

JF-Expert Member
Apr 16, 2018
3,876
5,326
Imenipendeza kutoa maoni yangu kupitia jamiii forum.

Hapa Dodoma imekuwa jiji na makao makuuu ya nchi. Ushauri wangu kwa wahusika, barabara kuu kutoka Dodoma kwenda Dar ni ya siku nyingi sana.

Hivyo ujio huu wa makao makuu imezidiwa sana na magari,hasa kipindi cha asubuhi na jioni na kusababisha msongamano mkubwa sana!

kwa nini msifanye maamuzi ya haraka kuzitanunua na kuzitengeneza kwa kiwango cha lami njia za kisasa kwenda stand kuu ya nabasi hadi ihumwa,.Maana hii barabara kuu ni mpango wa zamani kabla hata halijawa jiji.

Naomba kuwasilisha.
 
Muwe mnafuatilia mipango ya serikali maeneo yenu

Hapo Dom kuna mpango wa kujenga hiyo barabara kuwa njia 4 kutoka Dom to Moro

Pia ukiacha hiyo ni kwamba barabara kuu zote zinazoingia Dom kutoka Dar,Arusha,Singida na Iringa zitajengwa kwa njia 6 kwa umbali wa km 50 kila upande ko vuta subira ndio kwanza mwaka wa kwanza huu
 
Hama huko kisasa hapakufai njoo Kikuyu ,mkonze viwanja bwerere
Shida sio viwanja mkuu ni msongamano wa magari asubuhi,maana hii barabara ya Dodoma-Moro ni mpango wa zamani kabla ya jiji,sasa waongeze tarula au tanroad kuchepusha kwa kuelekea busi stand hasa kunapokuwa na misafaravya viongozi ni shida kama una mgonjwa wa haraka.
 
Muwe mnafuatilia mipango ya serikali maeneo yenu

Hapo Dom kuna mpango wa kujenga hiyo barabara kuwa njia 4 kutoka Dom to Moro

Pia ukiacha hiyo ni kwamba barabara kuu zote zinazoingia Dom kutoka Dar,Arusha,Singida na Iringa zitajengwa kwa njia 6 kwa umbali wa km 50 kila upande ko vuta subira ndio kwanza mwaka wa kwanza huu
Tatizo la wabongo hii umeisema utadhani iko hivyo mwaka utaisha mpo kwenye upembuzi yakinifu,mpaka uchaguzi2025,ndo mkandalasi anaanza!Kujituma kama wachina ni shida,watu kazi kukaa ofisini na kukinga mwisho wa mwezi.
 
Imenipendeza kutoa maoni yangu kupitia jamiii forum.

Hapa Dodoma imekuwa jiji na makao makuuu ya nchi. Ushauri wangu kwa wahusika, barabara kuu kutoka Dodoma kwenda Dar ni ya siku nyingi sana.

Hivyo ujio huu wa makao makuu imezidiwa sana na magari,hasa kipindi cha asubuhi na jioni na kusababisha msongamano mkubwa sana!

kwa nini msifanye maamuzi ya haraka kuzitanunua na kuzitengeneza kwa kiwango cha lami njia za kisasa kwenda stand kuu ya nabasi hadi ihumwa,.Maana hii barabara kuu ni mpango wa zamani kabla hata halijawa jiji.

Naomba kuwasilisha.
Badobado Hadi foleni ziwe zinatumia angalau lisaa moja hivi ndio mtafikiriwa,,,,sa hv wapo bussy na chattle.
 
Muwe mnafuatilia mipango ya serikali maeneo yenu

Hapo Dom kuna mpango wa kujenga hiyo barabara kuwa njia 4 kutoka Dom to Moro

Pia ukiacha hiyo ni kwamba barabara kuu zote zinazoingia Dom kutoka Dar,Arusha,Singida na Iringa zitajengwa kwa njia 6 kwa umbali wa km 50 kila upande ko vuta subira ndio kwanza mwaka wa kwanza huu
jinsi ya kufwatilia mipango ya serikali ktk maeneo unafanyaje?
 
Kuna Ring Road Inayoendelea Kujengwa Ila
Mleta Mada Eneo Unalosema Ni Kero Kubwa
Pia Hata Barabara Za Mitaa Mvua Kidogo Shida
 
Shida sio viwanja mkuu ni msongamano wa magari asubuhi,maana hii barabara ya Dodoma-Moro ni mpango wa zamani kabla ya jiji,sasa waongeze tarula au tanroad kuchepusha kwa kuelekea busi stand hasa kunapokuwa na misafaravya viongozi ni shida kama una mgonjwa wa haraka.
Ile barabara haipiti week ni ajali.
Imekuwa ndogo na msafara unakuwaga mkubwa sanaa. Asubuhi watu wanaenda kazini ndo maana na jioni wanarudi jioni inakuwaga balaa foleni.

Kukiwaga na msafara wa viongozi ndo nomaa
 
Imenipendeza kutoa maoni yangu kupitia jamiii forum.

Hapa Dodoma imekuwa jiji na makao makuuu ya nchi. Ushauri wangu kwa wahusika, barabara kuu kutoka Dodoma kwenda Dar ni ya siku nyingi sana.

Hivyo ujio huu wa makao makuu imezidiwa sana na magari,hasa kipindi cha asubuhi na jioni na kusababisha msongamano mkubwa sana!

kwa nini msifanye maamuzi ya haraka kuzitanunua na kuzitengeneza kwa kiwango cha lami njia za kisasa kwenda stand kuu ya nabasi hadi ihumwa,.Maana hii barabara kuu ni mpango wa zamani kabla hata halijawa jiji.

Naomba kuwasilisha.
Msilalamike mnapikokamuliwa mi fine na mi kodi ya hovyo hovyo!
 
Back
Top Bottom