Barabara za Jimbo la Ukonga zote mbovu

mge

JF-Expert Member
Dec 19, 2013
558
179
Barabara za jimbo la Ukonga zote mbovu sijui tumekosea wapi.

Wakati katika majimbo mengine ukarabati wa barabara upo kwa kasi kubwa ni tofauti kabisa kwa jimbo la Ukonga.
Mbunge wetu ebu tusaidie wananchi wako.
 
Barabara za jimbo la ukonga zote mbovu sijui tumekosea wapi.

Wakati katika majimbo mengine ukarabati wa barabara upo kwa kasi kubwa ni tofauti kabisa kwa jimbo la ukonga.
Mbunge wetu ebu tusaidie wananchi wako.
Kodi za kwenu lakini mnaomba msaada? shame on u
 
Barabara za jimbo la ukonga zote mbovu sijui tumekosea wapi.

Wakati katika majimbo mengine ukarabati wa barabara upo kwa kasi kubwa ni tofauti kabisa kwa jimbo la ukonga.
Mbunge wetu ebu tusaidie wananchi wako.
Wapinzani walichelewesha maendeleo
 
Dah! Naunga mkono hoja. Yani watu wa huko tunateseka. Basi wangeanza na hata zile kubwa kubwa. Stendi ya maana pia hatuna. Dah!
 
Watu wa Msongola tunataabika sana na ubovu wa barabara huku.
Ukiamua kuelekea Banana shida na ukiamua kuelekea Mbagala shida vilevile!!

Nadhani jimbo letu la Ukonga ni la mwisho kwa miundombinu mibovu jijini Daressalaam.
 
Jerry slaa mbunge wetu uko wapi???
 
Leo asubuhi mheshimiwa naibu waziri wa wizara moja kwenye kipindi cha asubuhi ITV amekiri TZ hamna wakandarasi wenye uwezo wa kufunga lift kwenye majengo mapya magomeni, DSM, wamepata mkandarasi wa njee

isijekuwa hata barabara wakandarasi wa Tanzania wamezidisha ukanjanja
 
Back
Top Bottom