Barabara ya Tunduru-Songea ni mbovu sana

mahakama ya kazi

JF-Expert Member
Feb 20, 2013
1,520
240
Barabara kutoka Tunduru mpaka Songea ni mbovu sana. Kwa abiria wanaotalajia kusafiri na barabara hiyo wajiandae kubeba vyakula na maji ya kutosha.Kwa sababu mnaweza kukwama njiani zaidi ya siku 2,bila msaada wowote.Maeneo yanayosumbua ni kilimasera,Hulia,matemanga,mingwea na dalaja mbili.Jiadhalini abiria.
 
Attachments

  • SAM_0889.JPG
    SAM_0889.JPG
    1.1 MB · Views: 242
  • SAM_0896.JPG
    SAM_0896.JPG
    1.4 MB · Views: 229
  • SAM_0901.JPG
    SAM_0901.JPG
    1.1 MB · Views: 215
  • SAM_0894.JPG
    SAM_0894.JPG
    1.5 MB · Views: 196
  • SAM_0900.JPG
    SAM_0900.JPG
    1.2 MB · Views: 174
Barabara kutoka Tunduru mpaka Songea ni mbovu sana. Kwa abiria wanaotalajia kusafiri na barabara hiyo wajiandae kubeba vyakula na maji ya kutosha.Kwa sababu mnaweza kukwama njiani zaidi ya siku 2,bila msaada wowote.Maeneo yanayosumbua ni kilimasera,Hulia,matemanga,mingwea na dalaja mbili.Jiadhalini abiria.

Watu wa Songea wamechagua ccm. wacha wayaone. watu wa Hai wamechagua CDM. Hai ndio halmashauri inayoendeshwa vizuri kuliko zote Tz. Barabara wilayani Hai ziko mpaka mvunguni
 
Watu wa Songea wamechagua ccm. wacha wayaone. watu wa Hai wamechagua CDM. Hai ndio halmashauri inayoendeshwa vizuri kuliko zote Tz. Barabara wilayani Hai ziko mpaka mvunguni
ilo ni tatizo la kwanza.ccm wanauhakika wa kupita hata kama hawajatengeneza barabara.pili, wabunge wa uku ni waoga kwa sababu wengi ni watuhumiwa wa ujangili wa pembe za ndovu. tatu,kawambwa aliingia mkataba mbovu na wakifisadi wahindi ili watengeneze barabara,magufuli ameusitisha na kuwafukuza.
 
magufuli yupo humu anakuja kujibu.

magufuli ni muoga.hii barabara mtoto wa mshuwa alipewa ukandalasi kupitia wahindi,waliishia kuchimba na kuiharibu kabisa,miaka mitano hata kipande cha lami hamna baadae magufuli aliona haibu na kuwasimamisha
 
ahsante kwa taarifa, kwa jinsi ninavyoiona bara bara hata uwe na SUV 4WD ni kazi bure naweza jikutana unalala njiani na gari lako.:eyeroll1:
 
Mbunge wa huko anaishi Dar, 2015 chagueni mbunge atakae ishi hapo hapo awapiganie bungeni.
 
tena kinana kapita hapo siku sio nyingi anajifanya kama hajaona vile! Ccm hawafai
 
Msijali wadau. Mchakato wa kupata wakandarasi kwa ajili ya vipande vyote vitatu vya barabara hii (Namtumbo to Kilimasera; Kilimasera to Matemanga; and Matemanga to Tunduru) unaendelea vizuri.
By January, if everything go well, kazi ya kuitengeneza itaendelea ili kuwaondolea adha watanzania wenzetu
 
barabara kutoka tunduru mpaka songea ni mbovu sana. Kwa abiria wanaotalajia kusafiri na barabara hiyo wajiandae kubeba vyakula na maji ya kutosha.kwa sababu mnaweza kukwama njiani zaidi ya siku 2,bila msaada wowote.maeneo yanayosumbua ni kilimasera,hulia,matemanga,mingwea na dalaja mbili.jiadhalini abiria.

tumethubutu, tumeweza, tunasonga mbele
 
Back
Top Bottom