getrusa
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 2,150
- 1,821
Wadau nimepita Barabara ya nyerere kuna miti imepandwa na maua kidogo nine staajabishwa! Sababu Kwenye barabara hiyohiyo kuna bango la mradi Wa flyover ikiwa na maana Barbara hiyo itabomolewa na hiyo miti itaondolewa!! Swali hiyo miti na Maua imetolewa bure?
Hiyo miti na ways umewekwa bila gharama,? Kama zipo alieshauri vikawekwa na alieweka hawakujua aka hawajui kuwa barabara hiyo itafumuliwa?
Hivi ufisadi hasa huwa unaanzia kiasi gani cha matumizi ya hovyo?