Barabara ya Nyamwage- Somanga hali si Shwari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Barabara ya Nyamwage- Somanga hali si Shwari

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Barubaru, May 25, 2011.

 1. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #1
  May 25, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Hakika picha hizi nimezitoa kwenye Issamichuzi.blogspot.com.

  Hapo mwenzetu HM Hafif alipokuwa likizoni akielekea Mtwara.

  Pole Sana Hafif na nafikiri Serikali ya huko Tanzania wataliona hilo na kulifanyia kazi haraka sana kuondoa hadha za wananchi wa kusini.
   

  Attached Files:

 2. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #2
  May 25, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 160
  John Pombe magufuli amesema mkandarasi anaendelea na kazi!
   
 3. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #3
  May 25, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  [​IMG]
   
 4. l

  lupaso Member

  #4
  May 25, 2011
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  njia ya kwenda kwetu masikini
   
 5. HOMOSAPIEN

  HOMOSAPIEN JF-Expert Member

  #5
  May 25, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 719
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Poleni watu wa kusini inaonekana kazi aliyoianza Ben Mkapa mpaka leo haijaisha ila ile ya Segera Chalinze imeisha na sasa inajengwa kutoka Bwagamoyo - Mkata na kuna ingine ya Handeni - Mvomero hadi Dumila inaonekana mcheza kwao hutuzwa.
   
 6. A

  AridityIndex Senior Member

  #6
  May 25, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 121
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tafadhali sana serikali malizeni hiyo barabara yetu, nimepita kwa mara ya mwisho 2009 hali ilikuwa hivyo hivyo Mwaka wa 3 sasa hali iko hivyo hivyo. Ina maana isingetokea Raisi wa awamu ya 3 kutokea kusini ndo ingekuwa basi kabisa. Maana tangu Mkapa atoke madarakani hakuna kilichofanywa na awamu ya hii ya nne ya kikwete na hii ni sawa na awamu ya kwanza ya Baba wa taifa, na awamu ya pili ya Mwinyi hakuna walichokifanya kusini. Kikwete amefunika hata plan ya Mtwara corridol ambayo kimsingi ingesaidia hata uchumi wa nchi. Mimi nadhani akitokea mwanasiasa akahubiri kujitenga ni afadhali kumuunga mkono tujitenge na hili jinamizi linaloitwa Tanzania.
   
 7. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #7
  May 25, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  kama mambo yenyewe ni hayo basi Kazi kweli kweli.
   
 8. usofu

  usofu Member

  #8
  May 25, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Njia ya ukweni,yaani tunapata tabu wenzenu
   
 9. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #9
  May 25, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Tuliambiwa gari dogo litatoka Mtwara hadi mwanza by year 2006 leo ni 2011 hali bado ni tete halafu kuna wajinga fulani wansema tuwape muda watakamilisha. sh***i zao!
   
Loading...