Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,708
- 5,711
Hapo ndio ujenzi ulianza? Na unajua huu mradi ulikuwa na phase ngapi? Na unajua unaanzia wapi? Au mmekariri hizo njia nne zilizozungumzwa leo? Tumieni akili.Yes. Mradi umeanza 28 Nov 2012. Gambo alikuwa wapi by then?
Jiulize Jakaya na Uhuru walizindua alafu JPM na Uhuru wazindue tena?