FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 37,890
- 43,782
Nimepita hapo na kukuta zile njia za mwendokasi zikiwa hazina machinga hata mmoja.
Mwenye taarifa zaidi
Mwenye taarifa zaidi
Aisee..! Kumbe! Ahsante kwa taarifa zaidiNilipita mitaa hiyo, nikasikia watu wakisema kama walimpiga (kuua) dreva wa gari fulani usiku wa jana. Aligonga boda boda ... Sasa wamachinga kwa kushirikiana na boda boda wakampiga (kuua). Sasa, kwa tukio hilo wakajipa tiketi ya kuondoka hapo. Maana serikali ilikuwa inaumiza kichwa namna ya kuwaondoa. Wamerahisisha kuondolewa kwao. Yaani peupeee!
Si leoKuna jamaa kauwawa hapo Leo
Alikanyaga bidhaa zilizopangwa barabarani.
Machinga wakampiga na kumchoma kisu.
So chinga wamekimbia.
Atakayekamatwa hapo anapewa murder case
Akifika home na wife hayupo atataka taarifa kwa anayejua yuko wapiAsubuhi ulipita tabata ukakuta ajali, ukaomba taarifa zaidi. Sasa hivi umepita msimbazi na bado unaomba taarifa zaidi, C2pd.
wacha! Ahsante kwa taarifa zaidi..!Kuna jamaa kauwawa hapo Leo
Alikanyaga bidhaa zilizopangwa barabarani.
Machinga wakampiga na kumchoma kisu.
So chinga wamekimbia.
Atakayekamatwa hapo anapewa murder case
Duuh..! Ahsante kwa taarifa zaidiSi leo
Jamaa alikanyaga bidhaa za hao wauaji, yakajitokeza majibizano ndio jamaa akatoka ndani ya gari mjinga mmoja akamtia kisu akachomoa na kumchoma tena hadi akafa, gari wakaliharibu kwa mawe....
Polisi wamekasirika hatakiwi mbwa pale......
Inabidi watu waache nunua bidhaa za hao watu
Huyo jamaa ni 'shujaa', kafanikisha hilo zoezi la kuwatoa, RIP.Si leo
Jamaa alikanyaga bidhaa za hao wauaji, yakajitokeza majibizano ndio jamaa akatoka ndani ya gari mjinga mmoja akamtia kisu akachomoa na kumchoma tena hadi akafa, gari wakaliharibu kwa mawe....
Polisi wamekasirika hatakiwi mbwa pale......
Inabidi watu waache nunua bidhaa za hao watu
But at such a great costHuyo jamaa ni 'shujaa', kafanikisha hilo zoezi la kuwatoa, RIP.
Nilipita mitaa hiyo, nikasikia watu wakisema kama walimpiga (kuua) dreva wa gari fulani usiku wa jana. Aligonga boda boda ... Sasa wamachinga kwa kushirikiana na boda boda wakampiga (kuua). Sasa, kwa tukio hilo wakajipa tiketi ya kuondoka hapo. Maana serikali ilikuwa inaumiza kichwa namna ya kuwaondoa. Wamerahisisha kuondolewa kwao. Yaani peupeee!