Barabara ya Moshi Baa Mkulemba Kivule imevunja chassis ya ki-baby walker changu

jiwe angavu

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
19,092
35,889
Hakika ni siku ya huzuni..leo nikiwa naenda kumsalimu shemeji yangu..nikiwa nmebeba familia na zawadi kwaajili ya ugeni huu.

Baada ya kupitia barabara mbovu sijawahi ona ndani ya dsm..ipitayo moshi baa mkulemba..hakika najuta..baada ya kukata chasis ya nyuma.

Barabara hii imejaa mashimo kila kona..kiufupi haipitiki..chakushangaza zaidi ipo ndani ya jiji.

Diwani yupo..mbunge yupo..mkuu wa ilaya yupo..mkurugenzi yupo..mkuu wa mkoa yupo..tarura wapo.

I wish ningekua..

Mana iabisha sana serikali ya ccm..inaonekana hifanyi kazi.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maeneo ya huko si mchezo bro, Barabara ya Kitunda-Kivule kuanzia kale kakipande kalami kalipoishia kwenda mbele huko au barabara ya kitunda-Magole its really HELL. Actually jimbo la Ukonga CCM imeamua kuli suspend from development projects. Wameipenda wenyewe ccm mbele kwa mbele:D:D
 
Sijui chasis ya nyuma ikoje! Chasis huwa ni moja tu inaanzia mbele mpaka nyuma na kwa magari makubwa zaidi
 
Maeneo ya huko si mchezo bro, Barabara ya Kitunda-Kivule kuanzia kale kakipande kalami kalipoishia kwenda mbele huko au barabara ya kitunda-Magole its really HELL. Actually jimbo la Ukonga CCM imeamua kuli suspend from development projects. Wameipenda wenyewe ccm mbele kwa mbele:D:D
Inasikitisha sana.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom