Barabara ya Morocco - Mwenge kufumuliwa na kujengwa tena nini maana yake?

Tatizo letu watu wa mipango (planners) wetu wako na shida kidogo kama sio sana, cjui huwa hawajui au wanafanya maksudi, yaani kuna mambo yanafanyika mpaka unashika kichwa, vibarabara vinajengwa day two inaonekana haifai, Mf. Tatizo la foleni Tabata lin litaisha maana barabara nyembamba na hakuna hata pakupanulia maana kote kumejengwa
 
Sio mwendokasi, ni upanuzi wa kawaida na umefadhiliwa na Jica.
Mwendokasi njia ya Mwwnge ni phase four baada ya ujenzi wa njia ya Gongo la Mboto. Sasa wanajenga phase 2 Kilwa Road.
Mwendokasi ndugu. Sidhani Kama imefanyika evaluation and monitoring ya kujua mradi wa mabasi ya mwendokasi wananchi wana hamu nayo na kuyahitaji kwa kadhia iliyopo chini ya Udart iliyopo Sasa.
Sababu fedha zilishaombwa Toka World bank Basi wameanza implementation ya mwendokasi phase 2.
Ipite referundum wananchi waulizwe je kweli wanahitaji Tena Bus rapid transport phase 2.
Uhalisia ni kwamba wananchi wananyanyasika Sana na mwendokasi iliyopo. Hatuitaki ..
Top down approach so nzuri twende na down top approach
 
Hiyo mwendokasi itakuwa inageuzia wapi?
bora isee maana wanajenga njia sita na njia ya mwendo kasi katikati jumla itakuwa njia 8 itasaidia sana pia.
Sio kila kitu cha kubeza kama awali walikarabati basi imesaidia kwa kipindi walichokaraba.
Kama kwa sasa pesa zimepatikana acha wabadilishe tu.
 
Tatizo wengi hawajui kuwa mda ni hela
Unapoteza masaa mangapi kwenda na kurudi kwa siku?
Miundombinu ikiwa mizuri na watu wakitumia mda mdogo kwa kufika makazini au mizigo kufika haraka hapo tunaokoa mda nakupata faida.

Mamilioni yanapotea kwa kupoteza mda
 
kwa hiyo ile pesa ya siku ya uhuru ilitumika pasi na kupanga? kwani huo msaada ni bure au tunalipa?
mengine mkaongeage kwa gwajima!
Wendo manaana nasema acha kupopoma tofautisha msaada na mkopo unaelimu gani kwanza?
 
Haya ni maajabu kama si muujiza, inasikitisha inashangaza, inauzi na inaumiza kweli.
Alioingia madarakani bwana yule alikuta pana neema, pesa imetengwa kwa ajili ya kuazimisha siku ya uhuru. akafuta kwa mbwembwe na sifa kubwa, kwamba yale yalikuwa matumizi mabaya ya pesa za umma. zipelekwe kwenye ujenzi /upanuzi wa barabara hii. leo miaka minne baada ya kuwekwa viraka barabara inajengwa tena, tena kwa kuwabughudhi wamachinga wenye vitambulisho pale mwenge.
swali.
kulikuwa na uharaka gani wa kupanua barabara hii na kuharibu kiwango chote kile cha pesa kisha kuifumua na kuijenga tena kabla hata ya awamu yake kuisha?
MWISHO. aliyepora korosho za wakulima ni mhujumu uchumi kama wahujumu wengine tu.... tofauti yake na kina kisena ni kuwa yeye analindwa na maguruneti
Ovyooo nyie machinga.
Kodi hamlipi na mnajisaidia mitaroni.
 
Maoni yatoke kwa wananchi watumiaji wa huduma ya BRT iliyopo imewasaidia, wanaifurahia na ina manufaa kwao.

Sidhani kama maoni yatakuwa mazuri. Hii project imefeli kwa sababu wanaowaza hizi project wao wanapanda matoyota SUV mafuta fuelcard wanajaziwa sio wapandaji wa hizi metro bus.

Mwendokasi imeathiri sana shughuli na kipato cha wananchi wa kimara mbezi mwisho. Usafiri hauna safety kabisa, iko hepatitis sasa hivi, dengue watu wanavyajazana kwenye mabasi sijui kama bima ya afya watahimili recurring cost ya wagonjwa.
 
Pesa za sherehe,zilikuwa za kupanua barabara kwa mdaa hili punguza foleni. Tusubiri ujenzi kamili
Aliyeanzisha thread naye ahajafikiria kwa umakini. Hicho kipindi chote ilichotumika baada ya kukarabatiwa kwa muda inawezekana kabisa ''imelipa''. ie Kama isingekuwa imekarabatiwa ni muda mwingi ungekuwa umepotea, ajali na possibly vifo. Kwa vile ilikarabatiwa kwa muda itakuwa vigumu kwa mtu asiyetaka kufikiri kwa kina kugundua hasara ambayo ingeweza kutokea kama isingekarabatiwa.
 
Vifaa vya mkandarasi hivyo. Wala sio vichwa vya tren. Vichwa na nabehema vitawasili julai toko China. Kama Kenya vyo muhundo tofauti
 
Haya ni maajabu kama si muujiza, inasikitisha inashangaza, inauzi na inaumiza kweli.

Alioingia madarakani bwana yule alikuta pana neema, pesa imetengwa kwa ajili ya kuazimisha siku ya uhuru. akafuta kwa mbwembwe na sifa kubwa, kwamba yale yalikuwa matumizi mabaya ya pesa za umma.

Zipelekwe kwenye ujenzi /upanuzi wa barabara hii. leo miaka minne baada ya kuwekwa viraka barabara inajengwa tena, tena kwa kuwabughudhi wamachinga wenye vitambulisho pale mwenge.
swali.
kulikuwa na uharaka gani wa kupanua barabara hii na kuharibu kiwango chote kile cha pesa kisha kuifumua na kuijenga tena kabla hata ya awamu yake kuisha?

MWISHO. aliyepora korosho za wakulima ni mhujumu uchumi kama wahujumu wengine tu.... tofauti yake na kina kisena ni kuwa yeye analindwa na maguruneti
Hii barabara lazima ijengwe kila wakati kwa sababu pale kuna makazi ya nyumba ndogo, Kebby's Hotel, andika hilo!
 
bora kodi ifanyiwe vitu vya maonesho nipate sifa kuliko nyinyi mzitumie kula vizuri !
nataka mgeuke mashetani weusi.
 
Aliyeanzisha thread naye ahajafikiria kwa umakini. Hicho kipindi chote ilichotumika baada ya kukarabatiwa kwa muda inawezekana kabisa ''imelipa''. ie Kama isingekuwa imekarabatiwa ni muda mwingi ungekuwa umepotea, ajali na possibly vifo. Kwa vile ilikarabatiwa kwa muda itakuwa vigumu kwa mtu asiyetaka kufikiri kwa kina kugundua hasara ambayo ingeweza kutokea kama isingekarabatiwa.
Watumiaji wa njia hiyo watakupatia uzoefu wao na translation ya faida au hasara itokanayo na njia tatu za sasa kulinganisha na moja ya zamani. Nakuhakikishia kuna tofauti kubwa sana hata kama foleni bado zipo lkn zinatembea idipokuwa sehemu chache sana zilizo korofi. Kabla ya sasa ilikuwa ni kawaida during peak hours kutumia masaa 4 hadi 5 kati ya Kariakoo na Tegeta. As we speak now ukikaa sana safarini ni lisaa limoja mida hiyo hiyo. Hapo tena ni baada ya wakazi wengi sana kuhamia Tegeta, Boko na Bunju hadi Kerege ambao hawakuwa regular users wa njia hiyo.
 
Mleta mada next tym punguza kukurukpuka. ... barabara ile haifumuliwi bali inaongezwa njia/lane kila upande na ndio maana Ikaitwa PHASE TWO maana PHASE ONE Iliishia njia 5
 
Mnaponda hadi maendeleo mmmh!!!
Watu wanataka kuona wanafanya vitu vikatavyo dumu miaka kadhaa
Syo leo una Jenga kesho una bomoa
Kila Mara mnajenga hapo hapo mpaka kwengine wanapasahau

Ova
 
Back
Top Bottom