Barabara ya Mabibo vipi?

blackhawk

JF-Expert Member
Feb 9, 2020
262
571
Kwema wana JF

Kuna hii barabara kutoka Urafiki hadi mabibo mwisho mwanzo ilikua mbovu sana ilikua na kero kubwa

Hivyo hivi karibuni mkandarasi aliingia kuanza marekebisho imerekebishwa kwa kama asilimia 50 kama wiki mbili sasa naona imeshia hapo na imefunguluwa watu wanaitumia ikiwa haijaisha

Najiuliza ndio imekamilika au mkandarasi ametimua nini hatma ya hii barabara maana mimi ni mdau mkubwa ndio nakatiza sana kwenda shughulini sasa ?
 
Hela hamna , Maghufuli aliopt kwenye miundo mbinu hasa construction za barabara na madude mengine ndo mana mambo yalienda , mama kaopt mambo mengine Kwa vyovyote vile kwenye miundo mbinu lazima palale, mambo hayawezi kwenda pamoja hata sku moja , na ni too cost ....!!! Miradi mingi ya barabara imekufa kibudu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom