Barabara ya lami yakwanguliwa yote Dodoma

KRS

Member
Sep 9, 2014
32
5
lnawezekana kuwa sina maarifa yoyote ya uhandisi wa barabara,au hata ufahamu katika ujenzi wa barabara!! but kukwanguliwa kwa barabara ya lami ambayo iko vizuri inayoanzia traffick light za karibu ya eneo la chako ni chako kuelekea uwanja wa jamhuri !! katika manispaa ya dodoma kumenisikitisha sana!!! kwann fedha zitakazotumika kujenga barabara hiyo upya zisingetumika kutengeneza barabara za maeneo mengine kuliko kukwangua lami ya barabara ambayo ni nzima?.
 
Nchi hii haina vipaumbele... Unaweza kuniambia kulikuwa na umuhimu wowote wa kuhamisha MA-DC na kuteua wapya ndani ya miezi minne..??

Vumilia tu, October sio mbali.. sambaza elimu ya uraia watu wakajiandikishe ili tufanye maamuzi ya mabadiliko la sivyo tegemea kuona vituko zaidi ya hivi..
 
Kuna pesa inataka kumegwa hapo!
 
Nchi hii haina vipaumbele... Unaweza kuniambia kulikuwa na umuhimu wowote wa kuhamisha MA-DC na kuteua wapya ndani ya miezi minne..??

Vumilia tu, October sio mbali.. sambaza elimu ya uraia watu wakajiandikishe ili tufanye maamuzi ya mabadiliko la sivyo tegemea kuona vituko zaidi ya hivi..

Kiongozi! 2010 ulipiga kura? Ulipigia upande upi? Kama jibu la kwanza ni ndiyo na la pili ni ccm, basi hayo ndo ulikuwa unayataka wacha kupiga mayowe!! Ni wapi Mkuu ulisikia kuwa Bagamoyo anaweza kutoka kiongozi? Abushiri (kama siyo Bushiri) mwenyewe alichemsha sembuse huyu Wa leo? Kama ulikuwa upande wangu Mkuu tuvumilie tu karibia tunafika ng'ambo, tufanye maamuzi sahihi waambie na majirani zako! Sasa hivi kuna mwizi mwingine anajiandaa kwenda magogoni, hivi sisi wa-Tz ni mataahira? Yapo mengi tu eti yanashabikia mwizi aende tena kuendeleza wizi, tuna akili sisi?
 
Hunijui sikujui!. Ila nikuhakikishe tu mwaka 2010 nilipiga kura na kwa kuwa nilikuwa naishi Mkoa mwingine tofauti na ule niliojiandikisha, na kwa kuwa nijua adui yetu ni CCM ilinilazimu nitumie si chini ya 100,000 kwenda kuitendea haki nafasi yangu kama raia wa nchi.. Nilijua kabisa wangeweza kushinda lakini nilijiapiza hata kama watashinda dhamira yangu ya kuwakataa ilitimia.. Hata siku ya mwisho hukumuni nikiulizwa na Mwenyezi Mungu ulifanya nini kuwasaidia wenzako kuondokana na shida za dunia.. Nitajibu kwa uhakika kabisa.. nilipiga kura lengo ni kuutoa utawala mbovu uliowanyima haki na usio waletea watanzania maendeleo..

Tukutane October!!
 
lnawezekana kuwa sina maarifa yoyote ya uhandisi wa barabara,au hata ufahamu katika ujenzi wa barabara!! but kukwanguliwa kwa barabara ya lami ambayo iko vizuri inayoanzia traffick light za karibu ya eneo la chako ni chako kuelekea uwanja wa jamhuri !! katika manispaa ya dodoma kumenisikitisha sana!!!.

Ni kweli imekwanguliwa, Ni barabara ya TANROAD na sio ya Manispaa
kumbuka ile ni Barabara iliyotengwa kwa ajili ya magari makubwa ya tani zaidi ya 10 na kuendelea
na barabara hiyo ukiiangalia vizuri haipo katika viwango kwani ilikuwa inaumuka na haikuwa katika barabara za magari makubwa
Kuanzia njia panda ya Makole (CBE) mpaka hapo Ndasha ilishakarabatiwa
Kipande cha kutoka hapo kupitia Jamhuri Stadium hadi daraja la Majengo ndio bado kuingia /kukarabatiwa kwa kiwango hicho
Kumbuka pia hapo Traffic light ni zege na wala sio lami kwani magari yenye uzito yakatapo kona huchimbua nk
 
Hata Mimi ni mtumiaji Mzuri Wa hiyo barabara!! Tena kwa gari ndogo.barabara hiyo kuanzia kwenye taa hizo kwenda hadi jamhuri stadium haikuwa na matuta yatokanayo na mgandamizo Wa malori kiasi hicho.na naamini kama yangekuwepo ukiwa na Gari dogo utayahisi kwa haraka zaidi tena kuliko ukiwa na Lori !! Watanzania tuwe wakweli
 
Hivi we mtoa mada mwanao nyumbani akiugua humpeleki hospitali na badala yake unamtia mimba mkeo ili akuletee kitoto kingine?
 
Hiyo afadhali hiyo rami wanayoikwangua wangeipeleka Kigoma maana kuna watu wanazeeka hawajawahi kuiona barabara ya rami. wangepata hata hiyo rami mtumba/used in dodoma wangefurahi sana.
 
lnawezekana kuwa sina maarifa yoyote ya uhandisi wa barabara,au hata ufahamu katika ujenzi wa barabara!! but kukwanguliwa kwa barabara ya lami ambayo iko vizuri inayoanzia traffick light za karibu ya eneo la chako ni chako kuelekea uwanja wa jamhuri !! katika manispaa ya dodoma kumenisikitisha sana!!! kwann fedha zitakazotumika kujenga barabara hiyo upya zisingetumika kutengeneza barabara za maeneo mengine kuliko kukwangua lami ya barabara ambayo ni nzima?.

Pale wamekuwa wakiifanyia ukarabati mara kwa mara lakini bado ubovu(potholes) zinajitokeza hilo linaashiria ubovu upo chini(underlying layers) hivyo suluhu ni reconstruction na sio maintenance. Tusiingize siasa katika kila kitu
 
Hunijui sikujui!. Ila nikuhakikishe tu mwaka 2010 nilipiga kura na kwa kuwa nilikuwa naishi Mkoa mwingine tofauti na ule niliojiandikisha, na kwa kuwa nijua adui yetu ni CCM ilinilazimu nitumie si chini ya 100,000 kwenda kuitendea haki nafasi yangu kama raia wa nchi.. Nilijua kabisa wangeweza kushinda lakini nilijiapiza hata kama watashinda dhamira yangu ya kuwakataa ilitimia.. Hata siku ya mwisho hukumuni nikiulizwa na Mwenyezi Mungu ulifanya nini kuwasaidia wenzako kuondokana na shida za dunia.. Nitajibu kwa uhakika kabisa.. nilipiga kura lengo ni kuutoa utawala mbovu uliowanyima haki na usio waletea watanzania maendeleo..

Tukutane October!!

Mungu wa Utatu mwenye uwezo wa kumbariki yeyote kwa kadiri ya uwezo wake, akubariki na kukufurikishia neema isiyomithilika!

Kataa udhalimu, kataa CCM
 
Back
Top Bottom