Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 5,689
- 8,926
Thread was deleted
mkuu pale usalama mdogoWeka picha na sisi wa mikoani tuione
Subiri tumalizie sgr,bwawa na kununua madege kwanzaWatumiaji wa hio barabara wataniunga mkono
ni kipande kidogo tu(Chini ya 500M) nafikiri, Lakini ni kero mno
Barabara ni:-
1) Nyembamba(njia 2)
2)Imepakana na soko la mabibo, hio vurugu lake nje usiombe
watembea kwa miguu, wafanyabiashara n.k
3)Mbovu, yani ina mashimo utafikiri mabwawa ya kuogelea
inafikia hatua kutoka tu NIT chuo hadi kuingia morogoro road unatumia hata zaidi ya dakika 15(kipande cha kutumia chini ya dk 5 tu)
Nitoe rai wahusika wapaangalie kwa jicho la tatu ( Au hadi jiwe afanye yake)
uzi tayar
Aisee jana nimepita nusu nivunje kiuno.
Hiyo barabara ni muda mrefu sana zaidi ya hata miaka 2 ipo katika ubovu huo huo, cha ajabu tuna DED wa Ubungo, DC na watendaji wengine lakn wala hawajishughulishi na hio road
Cha ajabu Serikali ipo busy kutengeneza barabara za lami ndani ya mitaa ambapo mitaa mingi tu hakuna route ya daladala inayokatiza afu wanaacha kukarabati barabara kama hizi ambazo 24hrs zipo busy kupitisha public n private vehicles,
sasa unashindwa kuelewa hivi ni kina nani wanaofanya 'Cost and Benefit análysis' ya hii miradi ya barabara
Tuendelee kuomba kwa Mungu pengine ipo siku Raisi JPM atapita maeneo hayo ktk ziara zake na dawa itakuwa imepatikana
Pale ni kawaida sana kukaa hadi lisaa ukiwa unasubiri malori yaingie Sokoni na zile daladala zinazosimamaga kuita abiria pale barabarani na magari madogo yanayokuwa yanatafuta parking..Watumiaji wa hio barabara wataniunga mkono
ni kipande kidogo tu(Chini ya 500M) nafikiri, Lakini ni kero mno
Barabara ni:-
1) Nyembamba(njia 2)
2)Imepakana na soko la mabibo, hio vurugu lake nje usiombe
watembea kwa miguu, wafanyabiashara n.k
3)Mbovu, yani ina mashimo utafikiri mabwawa ya kuogelea
inafikia hatua kutoka tu NIT chuo hadi kuingia morogoro road unatumia hata zaidi ya dakika 15(kipande cha kutumia chini ya dk 5 tu)
Nitoe rai wahusika wapaangalie kwa jicho la tatu ( Au hadi jiwe afanye yake)
uzi tayar
Pale ni kawaida sana kukaa hadi lisaa ukiwa unasubiri malori yaingie Sokoni na zile daladala zinazosimamaga kuita abiria pale barabarani na magari madogo yanayokuwa yanatafuta parking..
To be precise huwa ni mwendo wa Dakika moja tu kufika Morogoro Road kutoka pale NIT..
Yale maisha wengine tumefikia kudhani kuwa ndiyo yanapaswa kuwa vile, hata hatulalamiki tena. Kiasi kwamba Wakirekebisha huenda tukasononeka kuondolewa tulichozoea kukiishi.
Kweli inatisha, waabuduo mtu utasikia wanaimba flyover nk huku uraiani ni tabu tupuWatumiaji wa hio barabara wataniunga mkono
ni kipande kidogo tu(Chini ya 500M) nafikiri, Lakini ni kero mno
Barabara ni:-
1) Nyembamba(njia 2)
2)Imepakana na soko la mabibo, hio vurugu lake nje usiombe
watembea kwa miguu, wafanyabiashara n.k
3)Mbovu, yani ina mashimo utafikiri mabwawa ya kuogelea
inafikia hatua kutoka tu NIT chuo hadi kuingia morogoro road unatumia hata zaidi ya dakika 15(kipande cha kutumia chini ya dk 5 tu)
Nitoe rai wahusika wapaangalie kwa jicho la tatu ( Au hadi jiwe afanye yake)
uzi tayar
Mpaka JPM ASEME??!!Watumiaji wa hio barabara wataniunga mkono