Barabara ya Kimara mwisho mpaka Millenia na Suka -Golan zinatisha kwa ubovu

yogan

Senior Member
Feb 26, 2013
133
85
Heri ya sikukuu ya Eid! Sisi wakaaji wa maeneo haya niliyoyataja hapo juu tunapata taabu sana kwa kuwa miundombinu yetu ya barabara ni mbaya mno. Zamani tuliambiwa ni kwakuwa tulimchagua Diwani wa Chadema ndiyo sababu ya kunyimwa huduma hiyo. Mwaka jana Diwani huyo alirejea Ccm na akachaguliwa tena kuwa Diwani kwa tiketi ya ccm. Nauliza hv hii ni haki kweli? Diwani haonekani tumlilie nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kweli hii barabara ya Suka Hadi Golan, si kwamba ina mashimo bali ni mahandaki.Wenye Noah zinazopiga root kati ya Suca hadi Golan,Wana mpango wa kugoma kuanzia mwezi ujao.Nawasihi wananchi wa maeneo haya kuiga wakazi wa riftvalley,eneo hili lipo kabla ya kufika Golan,kona ya Marehemu Mwanacha.Wao wamekuwa wakijitahidi kutengeneza barabara yao kwa kujichangisha pasipo kutegemea Wanasiasa.Hongereni wakazi wa Riftvalley chini ya engineer wenu Kitutu.Pasipo kusahau viongozi wa Saccos yao,ingawa wanashutumiwa kwa upigaji fedha za Chama na Shamba la Kwala,pamoja na kudhoofisha Chama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heri ya sikukuu ya Eid! Sisi wakaaji wa maeneo haya niliyoyataja hapo juu tunapata taabu sana kwa kuwa miundombinu yetu ya barabara ni mbaya mno. Zamani tuliambiwa ni kwakuwa tulimchagua Diwani wa Chadema ndiyo sababu ya kunyimwa huduma hiyo. Mwaka jana Diwani huyo alirejea Ccm na akachaguliwa tena kuwa Diwani kwa tiketi ya ccm. Nauliza hv hii ni haki kweli? Diwani haonekani tumlilie nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tozo zitajenga barabara mpaka mlangoni kwako
 
Back
Top Bottom