tatamajuva
Member
- Sep 11, 2019
- 74
- 83
Barabara yenye km 3 kutoka eneo la Mhongolo manispaa ya Kahama ni mwaka wa 3 sasa anaendelea na matengenezo na yupo site hadi may 2021, mkandarasi huyu amesababisha eneo Hilo kutopitika Hali inayopelekea magari kupita njia zisizo rasmi na kutumia muda mrefu wa kuingia na kutoka mjini Kahama.
Hii ni aibu kubwa kwani ni mkandarasi alianza kazi mwaka 2019 Hadi Sasa bado kazi inaendelea.
Hii ni aibu kubwa kwani ni mkandarasi alianza kazi mwaka 2019 Hadi Sasa bado kazi inaendelea.