Barabara ya Kahama-Ngara eneo la Mhongolo, mkandarasi unakwama wapi?

tatamajuva

Member
Sep 11, 2019
74
83
Barabara yenye km 3 kutoka eneo la Mhongolo manispaa ya Kahama ni mwaka wa 3 sasa anaendelea na matengenezo na yupo site hadi may 2021, mkandarasi huyu amesababisha eneo Hilo kutopitika Hali inayopelekea magari kupita njia zisizo rasmi na kutumia muda mrefu wa kuingia na kutoka mjini Kahama.

Hii ni aibu kubwa kwani ni mkandarasi alianza kazi mwaka 2019 Hadi Sasa bado kazi inaendelea.
 
Weka picha Mkuu

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Barabara yenye km 3 kutoka eneo la Mhongolo manispaa ya Kahama ni mwaka wa 3 sasa anaendelea na matengenezo na yupo site hadi may 2021, mkandarasi huyu amesababisha eneo Hilo kutopitika Hali inayopelekea magari kupita njia zisizo rasmi na kutumia muda mrefu wa kuingia na kutoka mjini Kahama.

Hii ni aibu kubwa kwani ni mkandarasi alianza kazi mwaka 2019 Hadi Sasa bado kazi inaendelea.
Hii barabara ni kweli ni barabara iliyo na idadi kubwa sana ya watumiaji hasa wanaotoka vijijini, pamoja na ile ya ulowa, kuchukua muda mrefu namna hii ni changamoto sana
 
Makampuni ya wazawa-Njombe filing stations.Bado Mexons Energy nk...hizi ni kampuni za mafuta zimeanza Njombe hadi Dar es Salaam

Screenshot_20210808-213054.png
 
Back
Top Bottom