Barabara ya DART mikosi mitupu

kifaru 1

Member
Oct 21, 2013
28
4
Hawa mainjinia wetu waliosanifu na kusimamia hii barabara ya kimara feri nahisi uelewa wao ni mdogo sana maana hii barabara ni nyembamba huwezi overtake ! Makona kibao ! Nahisi ukikamilika ajali zitakua za nyingi sana!
 
umeliona ehe! Na gari kubwa likiaribika katikati bac jam yake itakuwa balah, inaitaji uangalifu sanaaaa, 10% zimefanya road kuwa nyembamba wakt sehem kubwa wameacha.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom