Mwenge hadi town inapokutana na bibi titiInaanzia wapi hadi wapi hiyo barabara?
Hii nchi ya kijinga sana, kwanini uzinduzi usifanywe na watu wachache bila kuathiri shughuli nyingine za kiuchumi?Hello all. Kindly note tomorrow 05/03/2022 Ally Hassan Mwinyi Road will be closed from 8:00am to 3:00 pm due to official opening of the New CRDB Bank Head Office where our President is the Guest of Honor. Please plan your route accordingly
CrdbUjinga mtupu, hiyo hasara nani atailipia?
Kinondoni Morocco hadi Posta Dar es SalaamInaanzia wapi hadi wapi hiyo barabara?
Ati!Hello all. Kindly note tomorrow 05/03/2022 Ally Hassan Mwinyi Road will be closed from 8:00am to 3:00 pm due to official opening of the New CRDB Bank Head Office where our President is the Guest of Honor. Please plan your route accordingly
Mwenge hadi town inapokutana na bibi titi
Kweli ni ipi?Kinondoni Morocco hadi Posta Dar es Salaam
We are working hard in our own way 🤣🤣Ati!
This is ridiculous
Hebu waache upuuzi
Kufungua kufungua ofisi ndio kufanya shughuli za watu zisimame
Huu ujinga utaachaa lini?
Waafrica tuna shida kwenye medulla oblangata
Hebu acheni ushamba
Eti Bank so what?
Chukua Pepsi kwa mangi ntalipaAti!
This is ridiculous
Hebu waache upuuzi
Kufungua kufungua ofisi ndio kufanya shughuli za watu zisimame
Huu ujinga utaachaa lini?
Waafrica tuna shida kwenye medulla oblangata
Hebu acheni ushamba
Eti Bank so what?
Safi. Rais awashinikize na Benki zingine zishushe riba kama CRDB.Hello all. Kindly note tomorrow 05/03/2022 Ally Hassan Mwinyi Road will be closed from 8:00am to 3:00 pm due to official opening of the New CRDB Bank Head Office where our President is the Guest of Honor. Please plan your route accordingly
Haiwezekani?Hello all. Kindly note tomorrow 05/03/2022 Ally Hassan Mwinyi Road will be closed from 8:00am to 3:00 pm due to official opening of the New CRDB Bank Head Office where our President is the Guest of Honor. Please plan your route accordingly
Na huko wanafunga, anazindua daraja!Hakuja haribika kitu... Watu watumie Daraja jipya
Sijui ila kwa ninavyihisi itakuwa karibu na Alihassan Mwniyi RoadKweli ni ipi?
Na hiyo 'head office' ipo wapi hasa?