Barabara mpya Mwenge - Morocco, vibanda vituo vya mabasi vyapopolewa utadhani daladala zina usongo navyo

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
15,314
24,177
Wanaume waliozoea bangi sasa wameingia Dar.

Na wana usongo na barabara mpya ya Mwenge mpaka Morocco. Sina uhakika kama brabara hii imeshazinduliwa , na sasa tayari jamaa wanapopoa vibanda ambavyo havina hata miezi minne.
Vibanda vya mabasi vinapopolewa na mabasi ya daladala , utafikiri madereva wake hawana akili nzuri.

Kuna mtu aliwahi kusema mswahili aliyezoea gari la punda, kumleta mjini atajitanua kama zote.

Kibanda.jpeg
 
Kuna jamaa alisema ng'oeni matairi tukamuona wa ajabu ila nchi hii bila viboko punda hawaendi! Tuendelee kuwachekea tu
Acha akili za ajabu.. kung'oa matairi ndio suluhisho? Nchi tajiri ila viwanda wameshindwa kujenga hata korosho tunapeleka nje.

Walinunua mandege ya kijinga badala ya kujenga viwanda. Viwanda = exports + ajira + kipato kizuri. Watu wakiwa na vipato vizuri, mambo kama haya hayatakuwepo.

Inasikitisha kuona waAfrica wenye akili kama zako.
 
Acha akili za ajabu.. kung'oa matairi ndio suluhisho? Nchi tajiri ila viwanda wameshindwa kujenga hata korosho tunapeleka nje. Walinunua mandege ya kijinga badala ya kujenga viwanda. Viwanda = exports + ajira + kipato kizuri. Watu wakiwa na vipato vizuri, mambo kama haya hayatakuwepo. Inasikitisha kuona waAfrica wenye akili kama zako.
Eff off.
 
Duh this is sad, nadhani hizo license ziwe zinakuwa validated every 5 years,
 
Nmepitia hapo Leo..nikajua wajapani wanavibasilisha ili vifanane na hivyo vipya wanavyojenga
 
Acha akili za ajabu.. kung'oa matairi ndio suluhisho? Nchi tajiri ila viwanda wameshindwa kujenga hata korosho tunapeleka nje. Walinunua mandege ya kijinga badala ya kujenga viwanda
We jamaa ndio mjinga kabisa aisee. Kipato kizuri utakipata wapi bila ya kuwa na miundombinu bora? Kipato kizuri utakipata wapi bila kufanya kazi na kutunza mali ulizonazo?

Umasikini wako unatokana na tabia kama hizo za kishenzi za kuharibu mali.. shwain kabisaa wewee..
 
We jamaa ndio mjinga kabisa aisee. Kipato kizuri utakipata wapi bila ya kuwa na miundombinu bora? Kipato kizuri utakipata wapi bila kufanya kazi na kutunza mali ulizonazo? Umasikini wako unatokana na tabia kama hizo za kishenzi za kuharibu mali.. shwain kabisaa wewee..
Mandege yamewasaidia waTz nini? WaTz kama ww mnaosapoti ujinga wa serikali yetu ndio maana umaskini hautaisha. Miundo mbinu kwa tz ni viwanda na barabara na sio mandege. Ni kuendeleza viwanja vya ndege na sio kujenga kiwanja cha kipuuzi chato.
 
Wanaume waliozoea bangi sasa wameingia Dar.

Na wana usongo na barabara mpya ya Mwenge mpaka Morocco. Sina uhakika kama brabara hii imeshazinduliwa , na sasa tayari jamaa wanapopoa vibanda ambavyo havina hata miezi minne.
Vibanda vya mabasi vinapopolewa na mabasi ya daladala , utafikiri madereva wake hawana akili nzuri.

Kuna mtu aliwahi kusema mswahili aliyezoea gari la punda, kumleta mjini atajitanua kama zote.

View attachment 1956220
Hapa ndipo ninapokata tamaa na waganga wetu wa kienyeji. Ingekuwa wanafanya kazi kwa kitu kama hiki, hakyaMungu nikimpata mganga/ mchawi anaeweza kuloga hao wahalifu/waharibifu nawaloga.
 
Hapa ndipo ninapokata tamaa na waganga wetu wa kienyeji. Ingekuwa wanafanya kazi kwa kitu kama hiki, hakyaMungu nikimpata mganga/ mchawi anaeweza kuloga hao wahalifu/waharibifu nawaloga.

Waroge wasiende nya😁😁🤣
 
Back
Top Bottom