Barabara mbovu Kirombero; Kwanini haitengenezwi miaka nenda rudi?!

Kistaaj

JF-Expert Member
Aug 29, 2015
424
198
Miaka nenda rudi kwanini serikali haikamilishi hii barabara toka Kidatu hadi Ifakara?
Sehemu ya kutumia dakka 40 unatumia masaa kibao. Pia hii njia inaharibu sana body ya gari..
 
barabara yenyewe haina faida kwa uchumi wa taifa
Kuna madini ya Ruby huku....halafu kuna hifadhi ya UDZUNGWA...Halafu kuna mazao ya Chakula na biashara.
waulize wasukuma watakwambia.
Tatizo lenu watoto mliolelewa kwa kuvaa pampers na kujisaidia kwenye pot werevu wenu ni mfupi.
 
Miaka nenda rudi kwanini serikali haikamilishi hii barabara toka Kidatu hadi Ifakara?
Sehemu ya kutumia dakka 40 unatumia masaa kibao. Pia hii njia inaharibu sana body ya gari..

Rekebisha kidogo pale juu ni KILOMBERO na si KIROMBERO
 
barabara yenyewe haina faida kwa uchumi wa taifa
Kwa kifupi tu sijui uchumi Wa namna gani unaouzungumzia ,vijiji ving. Huko ni wakulima kwahyo mazao yao nina iman yanalipa ushuru,sema Nina mashaka na aina ya wabunge wanaowachagua sio wazungumzaj katika kudai maslah ya jumbo lao ..ila watake radhi watu Wa kirombero kuwa hawana msaada wowote katika kukuza uchumi ilihali chanzo cha umeme unaotumia unapita pale kwao,na mwingine unazalishwa hapo kwao,wana kiwanda cha sukari na ni walimaji Wa miwa wazuri ,tueleze vigezo gani unavyotumia kupima watu wenye msaada Kwa Tanzania, kama unawadiss kirombero namna hii unguja na Pemba Si ndio utazichafua kabisa mkuu
 
Kidatu - Ifakara ina unafuu wa hali ya juu.Balaa lina anzia Ifakara - Malinyi na ile ya Ifakara - Mahenge (Ulanga)..Kwa wasiofahamu Malinyi ndio unatoka mpunga ambao ukikobolewa ndio unakuja kuitwa mchele wa Ifakara,ufuta,maembe,tikitimaji,n.k.Ulanga ni tajiri kwa madini ya Ruby na mengineyo na mazao kedekede huko Mwaya na kwingineko.
 
Kwa kifupi tu sijui uchumi Wa namna gani unaouzungumzia ,vijiji ving. Huko ni wakulima kwahyo mazao yao nina iman yanalipa ushuru,sema Nina mashaka na aina ya wabunge wanaowachagua sio wazungumzaj katika kudai maslah ya jumbo lao ..ila watake radhi watu Wa kirombero kuwa hawana msaada wowote katika kukuza uchumi ilihali chanzo cha umeme unaotumia unapita pale kwao,na mwingine unazalishwa hapo kwao,wana kiwanda cha sukari na ni walimaji Wa miwa wazuri ,tueleze vigezo gani unavyotumia kupima watu wenye msaada Kwa Tanzania, kama unawadiss kirombero namna hii unguja na Pemba Si ndio utazichafua kabisa mkuu
Mwambie kuwa Parokia ya tatu kuanzishwa na kanisa katoliki ilikuwa huko..
Parokia ya Sala.....
 
Nataka nimsikie mbunge wa kilombero/Ifakara bwana lijualiakali akiongea kuhusu hii barabara.
 
Back
Top Bottom