Barabara kuchimbuliwa na kujengwa upya fedha za kumaliza ujenzi tunazo au deal? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Barabara kuchimbuliwa na kujengwa upya fedha za kumaliza ujenzi tunazo au deal?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Babu Ubwete, Aug 16, 2012.

 1. B

  Babu Ubwete Senior Member

  #1
  Aug 16, 2012
  Joined: Jan 26, 2008
  Messages: 169
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Barabara nting zimechimbuliwa na kuanza kuchongwa kwa malengo ya kujengwa upya, Serekali inayotegemea wafadhili inayo fedha ya kuzijenga au kuna usanii wa wachache kutaka kula maana kila project mpya huwa kuna pesa ya upembuzi yakinifu,Tender,Fidia. Nadhani Magamba wanaipiga hii pesa kwa ajili ya kampeni 2015 na hawana nia ya dhati ya kutengeneza Barabara. Macho tunayo tutaona kama kweli njia ya Kimara itarudi katika hali nzuri. Na ni kwanini matengenezo haya yaanze muda huu.
   
 2. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #2
  Aug 16, 2012
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Alafu hiyo barabara ya kwenda Mbezi kutokea Kimara mwisho wataifanyia marekebisho? maana foleni ile siyo nzuri kwa shughuli za maendeleo, inakula sana muda aisee...!
   
Loading...