Barabara Kahama - Ngaya eneo la Mhongolo, Kahama Mjini mnakwama wapi?

tatamajuva

Member
Sep 11, 2019
74
83
Barabara hii ilianza kutengenezwa tangu June 2020 lakini hadi leo hii bado mkandarasi yupo site na haieleweki itamalizika lini, hali inayosababisha magari kukwama yanapopita temporary road.

Aidha njia hii imekuwa ikikarabatiwa Kila mwaka na kuleta adha kubwa kwa magari yanayopita kukwama, mamlaka zinazohusika tuondoleeni kero hii.

IMG_20210122_152144_7.jpg
IMG_20210122_152131_3.jpg
 
Itakuwa wale wa vyama vingine walikuwa wanatuchelewesha bure.

Mitano hii kote kutakuwa kama uraya. Wala usikonde mjomba awamu ya sasa ni kijani. Tena cha mboga mboga.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Barabara hii ilianza kutengenezwa tangu June 2020 lakini hadi leo hii bado mkandarasi yupo site na haieleweki itamalizika lini, hali inayosababisha magari kukwama yanapopita temporary road.

Aidha njia hii imekuwa ikikarabatiwa Kila mwaka na kuleta adha kubwa kwa magari yanayopita kukwama, mamlaka zinazohusika tuondoleeni kero hii.

Kahama - Ngaya na sio Ngara
 
IMG_20210122_152125_6.jpg
 
View attachment 1684000View attachment 1684001

Mitano hii chattle kwanza.

Wapinzani walikuwa wanatuchelewesha mno.
 
Back
Top Bottom