tatamajuva
Member
- Sep 11, 2019
- 74
- 83
Barabara hii ilianza kutengenezwa tangu June 2020 lakini hadi leo hii bado mkandarasi yupo site na haieleweki itamalizika lini, hali inayosababisha magari kukwama yanapopita temporary road.
Aidha njia hii imekuwa ikikarabatiwa Kila mwaka na kuleta adha kubwa kwa magari yanayopita kukwama, mamlaka zinazohusika tuondoleeni kero hii.
Aidha njia hii imekuwa ikikarabatiwa Kila mwaka na kuleta adha kubwa kwa magari yanayopita kukwama, mamlaka zinazohusika tuondoleeni kero hii.