MzalendoHalisi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2007
- 4,519
- 1,368
http://dailynews.habarileo.co.tz/home/index.php?id=2279Kuhusu kupanda kwa bei ya umeme Zanzibar kwa asilimia 168, kutoka Sh 28 hadi Sh 75 kwa kilowati moja, Masebu alisema hiyo inatokana na wateja wa Zanzibar ambao ni Shirika la Umeme na Mafuta la visiwani humo kulipa bei ndogo ikilinganishwa na hali halisi ya gharama za uendeshaji.
"Pamoja na Zanzibar kuongezewa gharama kubwa, lakini bado bei hiyo ipo chini ukilinganisha na zinazolipwa na watumiaji wa umeme wa bara,"
Je ni sahihi Visiwani walipie Umeme bei ndogo kuliko bara? Umeme wote unatoka Kidatu! Ni kigezo gani kinatumika Visiwani walipie kiasi kidogo kuliko bara na kwa kwa nini? Je ni faida ya nani?
Au ndo faida za Muungano Visiwani?
Je ni nani anabeba huu mzigo? Sii mtumiaji mlalahoi wa umeme Bara?
Is this fair?
Could this be ndo maana inabidi bei ya umeme ipande kwa sasa -kwa vile Visiwani wanalipa kidogo kuliko bara?????