bar ya kimboka na agivea buguruni zimerudisha huduma zake kwa wateja....

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,182
3,547
zile bar mbili zilizokuwa zimefungiwa na serikali ya mtaa ya buguruni kwa mnyamani sasa zimerudishiwa huduma zake kwa
wateja kwa sasa kwa wale waliokuwa wakipita na kukuta bar hizo zimefungiwa.....na mlikuwa mkipata shida sasa huduma zimerudishwa..........

source:mimi nakaaa maeneo hayo jana nilipita....jioni
 
Kila asaidiae zinaa ifanyike naye pia amezini-wote tutakaoenda kwa sababu ya tangazo lako hili nawe unaandikiwa umeshiriki- du unaandikiwa umeshiriki na demu wangu wakati hata utamu wake huujui!! pole wee!!!
 
zile bar mbili zilizokuwa zimefungiwa na serikali ya mtaa ya buguruni kwa mnyamani sasa zimerudishiwa huduma zake kwa
wateja kwa sasa kwa wale waliokuwa wakipita na kukuta bar hizo zimefungiwa.....na mlikuwa mkipata shida sasa huduma zimerudishwa..........

source:mimi nakaaa maeneo hayo jana nilipita....jioni

juzi ulikuja na manzese baada ya hapo sijui wapi tena
 
Back
Top Bottom