Bar hazijai kwa nini

mikononyuma

JF-Expert Member
Jul 8, 2015
642
594
Nafanya tafiti, kwa nini bar hazijai wanywaji. Mupemupe nazo zimepungua...
Nahitaji comments kuestablish hypothesis
 
Nafanya tafiti, kwa nini bar hazijai wanywaji. Mupemupe nazo zimepungua...
Nahitaji comments kuestablish hypothesis
Sio bar tu hata gesti house tena nyingine zimeshusha bei huku kukiwa na offer kibao kama" lipia siku mbili upate moja bure"
 
Kwa mwezi huu kuna mwezi mtukufu, pia muda wa kufungua sasa umeminywa sana. Pia inasemekana uchumi wa mtu mmoja mmoja (micro economy) nao umeyumba...
 
Aiseeeee Bar ni shida hamna kabisa watu nawaonea huruma waliowekeza kwenye biashara za vinywaji atleast wale wanaouza vyakula wapo kidogo vizuri ila sio vinywaji Bar hazina hazina hazina kabisa watu
 
Mimi nadhani utakuwa ni MTU wa dar maana ni mji ulioathirika kupita yote kwenye awamu hii maana huko watu walizoea kuishi kiujanjaujanja...

Pia yakupasa utambue kuwa biashara hizo hutegemea wazinifu kwa kiasi kikubwa hivyo,mwezi huu mtukufu huleta shida daima

HALAFU MUWE MNAWAULIZA WAJUZI KWANZA MAANA WATANZANIA MNAPENDA KUCHORA KILA KITU KITOKEACHO KATIKA AWAMU HII KAMA NI KIPYA......
 
Wenye bar na wanywaji ni watu muhimu sana hapa Tanzania wanahitaji tuzo maana bila wao bajeti isingewezekana, ni kama wahisani wetu.
 
Hela za nje ya mshahara za kuendea bar na shughuli nyingine zimetoweka baada ya kuingia JPM
 
Back
Top Bottom