Kashishi yetu
JF-Expert Member
- Mar 22, 2014
- 3,114
- 2,897
Mnaalikwa Wote Kufika Pale Shuleni Kumuona Makamu Mkuu Wa Shule Mwalimu Ambrose Kwa Ajili Ya Mkutano Wa Jumuia Ya Watu Wote Tulosoma Au Kufanya Kazi Hapo Baptist Sekondari School, Mkutano Huo Unatarajiwa Kufanyika Hv Karibuni