Bao la kwanza safe, kuna ukweli????

Lamchina

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
240
120
Habari za mishughuliko wadau?
Watu wa mitaani wanasema kuwa kufanya mapenzi bila kinga kwa bao la kwanza halina madhara yeyote kama mmojawapo kaadhirika na HIV/AIDS, Lakini sharti moja ni kuwa lazima wote kwa pamoja mmefanya romance muda wa kutosha. Hii inatokana na kuwa partners wote watakuwa wametoa majimaji ya kutosha hivyo uwezekano wa kuchubuana hakuna. Pia wanaamini kuwa maambukizi yansababoshwa na michumbuko(damu) na sio majimaji ya wawili hao.
Je wadau kuna ukweli wa kauli hii?

Asanteni kwa michango yenu mizuri ya mawazo!!!
 
Ukweli upo kwa asilimia 75% ila si gurantee ya kufanya mapenzi bila kondom maana uke si wakati wote hauna majeraha unaweza ukawa nao hata kidogo.. na unapofany mapenzi nae unaweza kupata ukimwi. Bao la kwanza ni safe kwa vile linawahi kwa wanaume wengi... je kwa wale wanaume ambao bao lao la kwanza linachelewa tuwaweke wapi?

Kuwa Makini tumia kondomu. Ukimwi unaua
 
Fanya utafiti ndugu yangu usisahau kujiweka kwenye sample, hapa utaishia kupata bla bla tu!!!!!!!!!

Via Mobile.
 
Huyu naye kapiga gemu muda mreefu bila kufika kileleni,baadaye akavua kinga nakupiga bila kinga,kwa chini ya dakika moja tu akamaliza,uwezekano wa kuathirika ni sawa na aliyepiga dakika tisini bila kinga?
 
fluids that contain hiv virus are

breast milk
blood
semen
vaginal fluids
so usijidangaye kwamba mgoma mpaka eti mchubuko utokee
 
Aheri mzee wa kugegeda umemwambia vizuri maana ndg yetu alikuwa kashapotezwa na myth
 
Habari za mishughuliko wadau?Watu wa mitaani wanasema kuwa kufanya mapenzi bila kinga kwa bao la kwanza halina madhara yeyote kama mmojawapo kaadhirika na HIV/AIDS, Lakini sharti moja ni kuwa lazima wote kwa pamoja mmefanya romance muda wa kutosha. Hii inatokana na kuwa partners wote watakuwa wametoa majimaji ya kutosha hivyo uwezekano wa kuchubuana hakuna. Pia wanaamini kuwa maambukizi yansababoshwa na michumbuko(damu) na sio majimaji ya wawili hao.Je wadau kuna ukweli wa kauli hii?Asanteni kwa michango yenu mizuri ya mawazo!!!

Hii inatokana na kuwa partners wote watakuwa wametoa majimaji ya kutosha

Sentensi hii ndiyo imenifanya niamini tunapigwa fiksi tu hapa...mwanaume unatoa majimaji ya kutosha sehemu gani?...hahahahah
 
Habari za mishughuliko wadau?
Watu wa mitaani wanasema kuwa kufanya mapenzi bila kinga kwa bao la kwanza halina madhara yeyote kama mmojawapo kaadhirika na HIV/AIDS, Lakini sharti moja ni kuwa lazima wote kwa pamoja mmefanya romance muda wa kutosha. Hii inatokana na kuwa partners wote watakuwa wametoa majimaji ya kutosha hivyo uwezekano wa kuchubuana hakuna. Pia wanaamini kuwa maambukizi yansababoshwa na michumbuko(damu) na sio majimaji ya wawili hao.
Je wadau kuna ukweli wa kauli hii?

Asanteni kwa michango yenu mizuri ya mawazo!!!

Ukweli upo kwa asilimia 75% ila si gurantee ya kufanya mapenzi bila kondom maana uke si wakati wote hauna majeraha unaweza ukawa nao hata kidogo.. na unapofany mapenzi nae unaweza kupata ukimwi. Bao la kwanza ni safe kwa vile linawahi kwa wanaume wengi... je kwa wale wanaume ambao bao lao la kwanza linachelewa tuwaweke wapi?

Kuwa Makini tumia kondomu. Ukimwi unaua

Endeleeni tu kujidanganya na kujustify upuuzi...scientific research gani imefanyika kuthibitisha hayo!? Misingi ya kujikinga na HIV ni mi3 tu...Abstinence...au Befaithful kwa mpenzi mmoja hasiyeambukizwa..au Condomization..ABC..period, hizo nyingine mbwe mbwe tu!
 
lahaula wallah quattah! nani kakupotosha?
Hayo majimaji si ndio yanakuja na kirusi???
 
Mkuu ajali haina cha safari ndefu wala fupi,hata kwenye coridor ya nyumba yako waweza anguka ukavunja kiuno. Waweza acha zinaa,au oa then kuwa mwaminifu,au kama humwogopi mungu endelea na zinaa lakini tumia condom kujikinga angalau usiondoke na kilo mbili ili ule moto wa milele ukakuchome vizuri.
 
Watu wa mitaani wanasema kuwa kufanya mapenzi bila kinga kwa bao la kwanza halina madhara yeyote kama mmojawapo kaadhirika na HIV/AIDS, Lakini sharti moja ni kuwa lazima wote kwa pamoja mmefanya romance muda wa kutosha. Hii inatokana na kuwa partners wote watakuwa wametoa majimaji ya kutosha hivyo uwezekano wa kuchubuana hakuna. Pia wanaamini kuwa maambukizi yansababoshwa na michumbuko(damu) na sio majimaji ya wawili hao.
Je wadau kuna ukweli wa kauli hii?

Hakuna ukweli!
 
Habari za mishughuliko wadau?
Watu wa mitaani wanasema kuwa kufanya mapenzi bila kinga kwa bao la kwanza halina madhara yeyote kama mmojawapo kaadhirika na HIV/AIDS, Lakini sharti moja ni kuwa lazima wote kwa pamoja mmefanya romance muda wa kutosha. Hii inatokana na kuwa partners wote watakuwa wametoa majimaji ya kutosha hivyo uwezekano wa kuchubuana hakuna. Pia wanaamini kuwa maambukizi yansababoshwa na michumbuko(damu) na sio majimaji ya wawili hao.
Je wadau kuna ukweli wa kauli hii?

Asanteni kwa michango yenu mizuri ya mawazo!!!

Kama ni hivyo mkuu basi hata njiti ya kwanza kuchukua kwenye kiberiti haitawaka kama unataka kuiwasha.:biggrin::biggrin:
 
Kweli lako Lamchina!!!

Halafuuu...kwanini unagegedana na walioambukizwa sasa!?? Au unakua hujui? kama hujui kwa nini ugegedane naye at all? Huwezi kuvumilia? kama huwezi kwanini usitumie sabuni basi...ok, geisha zimekuwa expensive? sawa...condom dume si ni 400/- sijui 500/- ? kwanini unataka kujifanya experiment!???
 
Imagine moja wao hasa kidume limekula viagra afu bao la kwanza linachomoka baada ya dakika 180. What next?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Source?
Haina tofauti na kusema ukimwaga nje hupati mimba. Wakati precum inaweza kubeba sperms! Mtakufa vibudu.

Back
Top Bottom