Banks involved in scam to be investigated

LeoKweli

JF-Expert Member
Apr 23, 2008
335
18
Banks involved in scam to be investigated
Published in: Legalbrief Africa
Date: Mon 07 July 2008
Category: Tanzania
Issue No: 288

All commercial banks that handled and processed monies and payments related to the Bank of Tanzania's external payments arrears (EPA) scandal are to be investigated under the recently enacted Money Laundering Act.

This is in terms of the commitment that the government made to the International Monetary Fund (IMF) which is reviewing the country's performance under an IMF programme. The details are contained in a report by the mission that has been published by the Fund. The East African Standard reports that the revelations came in the wake of a statement by Finance Minister Mustafa Mkulo that has been widely interpreted as signalling a lack of political commitment to closing the chapter on one of the worst scandals to hit the country's central bank in years. Eyebrows were raised when Mkulo said the funds in the EPA scam belonged to a number of private firms and that the Bank of Tanzania was just an 'agent'. A special audit of the EPA account at the Bank of Tanzania conducted by Ernst & Young Co on behalf of the Controller and Auditor-General was concluded in 2007. It identified serious improprieties in the management of the account.
 
The number one bank to be investigated should be BOT, wait a minute, we have several reports on that, the president is just sitting on some...
 
How many more investigations do we need?
 
Hapa zinaongelewa Bank kama CRDB, Kwamfano issue ya Richmond, CRDB ndio ilyotoa Letter of Credit ya Mabilioni, kwahiyo sio swala la BOT tu bali kina KIMEI wanahusika Moja kwa Moja.

Mfano mwingine , Hauwezi kufungua Bank Account Bila kuwa na proper documentation za registartion za Kampuni, Hivyo hao kagoda waliezaje kufungua akaunti ya Biashara CRDB KAMA Hawakuwa na Paper work zote Hivyo KIMEI anajua mchongo.

Plus Credit Controler wa Bank ana limit ya ku authorise transaction na zikifika kiwango fulani lazima management ya Juu ya bank ijue , Hivyo KIMEI anajua watu waliohusika wote KAGODA WOTE ANWAJUA KWA SURA
 
Leokweli,

Naelewa unayosema hapo juu, my thing is, utaniambiaje kuwa investigations zitakazokuja zitakuwa effective wakati huko jikoni kwenyewe BOT kuna investigations kadhaa zimefanywa na ripoti kashapewa mkuu lakini anajiuma uma?

Anza jikoni BOT safisha huko halafu utaenda kwenye small fries hawa. Ama sivyo utaonekana kuwa na selective justice, unawaonea wadogo lakini mkulu wao unamuachia.
 
Unachosema Ni Kweli, Tunachosubiri nituone Mpaka Mwezi wa nane , Kama hakijatokea Kitu, Tutakuwa na hiali ya Kutangaza Hali ya Hatari.
 
Unachosema Ni Kweli, Tunachosubiri nituone Mpaka Mwezi wa nane , Kama hakijatokea Kitu, Tutakuwa na hiali ya Kutangaza Hali ya Hatari.

Ni kweli kwani mwezi wa nane kuna trip washington.
Hata hivyo je are we trying to make sure justice is going to prevail ama we are gonna follow this example from the French People?

Bank fined for $7.8 billion rogue trader scandal
French officials highlight 'serious shortcomings' at Societe Generale

PARIS - France's central bank announced Friday that it has fined Societe Generale $6.3 million for "serious shortcomings" in its internal controls that led to nearly $7.8 billion in trading losses announced earlier this year.
The Bank of France's banking commission also issued a formal warning to SocGen, France's second-biggest bank, saying shortcomings in "hierarchical controls" for extended periods in 2007 fueled the problem.
Societe Generale officials in Paris declined to comment on the decision, made Thursday but announced Friday on the Bank of France Web site.
The commission's ruling noted "significant weaknesses" in Societe Generale's computer security systems and said that traders and those meant to monitor them were not sufficiently independent of each other. It noted, however, the bank's quick efforts to rectify control failures after the losses were discovered.
Societe Generale has accused futures trader Jerome Kerviel of betting tens of billions of the bank's money without permission, which led to massive losses announced in January. Investigating judges have filed preliminary charges against Kerviel for forgery, breach of trust and unauthorized computer use.
Kerviel is free while the investigation continues and is working in a new job as a computer consultant. His lawyer says his supervisors were aware of his trades and did not stop them while he was making money for the bank.
Two reports issued in May showed that Societe Generale managers had ignored repeated warnings about Kerviel's activities, and pointed to a culture of risk-taking at the bank
 
Mabenki ya Bongo , Hayana Cha Internal Control wala nini Ila kuna Amri Control.

I think ili kuresha sekta ya Mabenki Hapa Bongo Tunahitaji, Independent Institution ya Kuyasimamia, Mfano Uingerez makampuni yote yanayohusu Fedha Bali ya Kuwa supervised na BoE pia kuna independent BODY inayoregulate na ku audit jinsi haya mabenki au vyombo vinavyo husu fedha vinavyoendeshwa na inaitwa FSA, Financial Service Authority. Leo Order ikitoka BOT bank supervition hakuna wa kuistop hata ikiwa ya KIFISADI.
 
Mabenki ya Bongo , Hayana Cha Internal Control wala nini Ila kuna Amri Control.

I think ili kuresha sekta ya Mabenki Hapa Bongo Tunahitaji, Independent Institution ya Kuyasimamia, Mfano Uingerez makampuni yote yanayohusu Fedha Bali ya Kuwa supervised na BoE pia kuna independent BODY inayoregulate na ku audit jinsi haya mabenki au vyombo vinavyo husu fedha vinavyoendeshwa na inaitwa FSA, Financial Service Authority. Leo Order ikitoka BOT bank supervition hakuna wa kuistop hata ikiwa ya KIFISADI.

Hapa zinaongelewa Bank kama CRDB, Kwamfano issue ya Richmond, CRDB ndio ilyotoa Letter of Credit ya Mabilioni, kwahiyo sio swala la BOT tu bali kina KIMEI wanahusika Moja kwa Moja.

Mfano mwingine , Hauwezi kufungua Bank Account Bila kuwa na proper documentation za registartion za Kampuni, Hivyo hao kagoda waliezaje kufungua akaunti ya Biashara CRDB KAMA Hawakuwa na Paper work zote Hivyo KIMEI anajua mchongo.

Plus Credit Controler wa Bank ana limit ya ku authorise transaction na zikifika kiwango fulani lazima management ya Juu ya bank ijue , Hivyo KIMEI anajua watu waliohusika wote KAGODA WOTE ANWAJUA KWA SURA

Kwa hio ina maana mafisadi wa EPA watasafishwa kwa kisingizio cha kuwa Order ya kifisadi ilitoka Bank Supervision?

Vipi kuhusu walio initiate na wale ambao walifanya makusudi kuzi missuuse hizo sheria ambazo unadai ndizo za kulaumiwa?

Ina maana sasa ni faini zitapigwa kwa yale mabenki halali yaliyohifadhi hizo pesa...Then vipi kuhusu yale FEKI?

Na vipi kuhusu wale walio collaborate kufungua benki feki kwa kuanzia na BANK M?

Vipi kuhusu wanasheria waliotumika kuyahalalisha makampuni feki kama MALEGESI ADVOCATES?

Vipi kuhusu the political side of it ambapo Iddi Simba,Lukaza na wengineo walio engineer?

What about the DEP,DDDD,DF, NA BS?
FORGET ABOUT BALLALI FOR NOW...Kwani BS ndiye mshauri wa kisheria mwenye kuhakiki documents zote za BOT kwamba zimefuata sheria na Ballali yeye ni kama ceremonial signature!
 
JMUSHI,

Hakuna Cha kutetea Mtu hapo, Ila wakati Umefika , Kila Ngazi iazibiwe kutokana na Ushiliki wake katika Illigal Dealings.

Mfano kama hiyo Law Firm ilitakiwa ifutitiwe leseni zamani sana, Bank M ilitakiwa iwe natinalised zamani, Halafu Wakurugenzi wa Mabenki kama CRDB ilitakiwa wawe wamefukuzwa kazi kwa kutofuata maadili ya Usimamizi wa Fedha.

But looking on Long term we need, an Independent Body which will over see the operation of Banks and not only BOT
 
You sound like Mr president JK mwenyewe..Anyways... kwa maneno hayo napata moyo kuwa watashughulikiwa ama kuna wenye nia ya kuhakikisha hivyo.

Ila ufanye/wafanye mambo kishujaa ili uwekwe/wawekwe kwenye HISTORIA YA AFRIKA!

Kwani sasa kama unaona kuna mambo ya makanisani na UKABILA!

Tunaomba tu ukweli na kama kuna makosa ambayo yatakiriwa na kuomba msamaha kwa taifa...Basi watapewa msamaha kama mali zitarudishwa,sheria kubadilishwa,na pia wasijiingize tena kwenye shughuli yoyote ya kisiasa na si kwenda huko makanisani kuwagawa watu na pia hoja za ukabila!

Kama wanataka kuepuka machafuko...Basi ukweli uwekwe wazi na kuundwe tume ya ukweli na maridhiano!

Ila ni baada ya Taifa kuambiwa ukweli na kuombwa msamaha na mali za taifa kurudishwa!
 
jmushi1,

kwa kuongezea ni kwamba, Suluhisho la Uongozi Bora Tanzania ni 2010, Tukiamua na tukiwa na nia, Tunauwezo wa kuwabwaga nje mafisadi wote, Hatutakuwa na Fisadi hata mmjoja Bungeni.

Tunatakiwa tu tuwajulishe wananchi dalili na sifa za fisadi.
Wananchi wakizijua hawatanunuliwa kwa kanga , maana yake viongozi bora tutapata amabo sio mafisadi.

Unajua Bongo sasa Hivi Uongozi sio KAZI bali ni uliawatani
 
Hapa zinaongelewa Bank kama CRDB, Kwamfano issue ya Richmond, CRDB ndio ilyotoa Letter of Credit ya Mabilioni, kwahiyo sio swala la BOT tu bali kina KIMEI wanahusika Moja kwa Moja.

Mfano mwingine , Hauwezi kufungua Bank Account Bila kuwa na proper documentation za registartion za Kampuni, Hivyo hao kagoda waliezaje kufungua akaunti ya Biashara CRDB KAMA Hawakuwa na Paper work zote Hivyo KIMEI anajua mchongo.

Plus Credit Controler wa Bank ana limit ya ku authorise transaction na zikifika kiwango fulani lazima management ya Juu ya bank ijue , Hivyo KIMEI anajua watu waliohusika wote KAGODA WOTE ANWAJUA KWA SURA

Dr. Kimei, alikuwa anataka UGAVANA wa Benki Kuu ndo ilikuwa asante yake yake, kupitia mke wa Mkapa, lakini baada ya Jamaa kuingia mambo yakawa tofauti alivyofikilia yeye huyo Dr. Kimei. Pia amejenga nyumba nyingi sana hapo Msasani-Real Estate kwa hizo 10% za Kagoda.
 
Tuanzeni kuzilist hata Hizo, Mali za KIMEI, kuhani Mkuu ameshaanza kuamka na ameahidi kutoa miaka kwa kila kosa bila huruma, na asipotiza tutagawana Vyumba kwenye hizo apartment za Msasani
 
Back
Top Bottom