Banks in Tanzania & Credit Cards

Consultant

JF-Expert Member
Jun 15, 2008
11,401
20,661
Wakuu...naomba kuuliza!

Hivi ni bank gani Tanzania inayokuwezesha kuwa na Credit Card au utaratibu wowote wa kuweza kufanya shopping online?

Ni bank gani ambayo unaweza kufanya online transfer ya fedha kwenda kwa mtu mwenye account na bank nyingine?

Shukrani!
 
zipo km crdb na nyingine tu! Ila credit card sahau kabisa!
Wapo Exim Bank lakini ya kwao wanaiita credit card.lakini mimi hiyo ni Debit card.
Kwani Una deposit 5000.000 halafu wanakupa Master card yenye 5000,000 ili uweze kufanya online shopings!
Thanks
 
Hapo exim pia wana silver card yenye deposit ya $1,000 na unaweza kutumia mpaka kiwango fulani nadhani 80% ya $1,000. Hiyo ya $5,000 ni ya gold card.
 
Hakuna credit card hapa,ila unaweza kuchukua za bank au companies za nje ya tz
 
Yeah ya exim ni credit card/debit card mix, unaweza kutumia sehemu yoyote online inayokubali master card credit cards lakini inabidi ujaze hela kama debit card, na juu ya hapo inabidi uende benki kulipia kiasi ulichotumia kwenye cadi otherwise wanakucharge interest.
 
zipo km crdb na nyingine tu! Ila credit card sahau kabisa!

CRDB ninajua kuna kitu wanaita 'online banking' - unaweza kuregister and then ukawa an access ya kumtumia mtu pesa, mwenye account ba CRDB tu!

Hivi kuna bank nyingine yenye utaratibu kama huo, lakini inayokuwezesha kufanya transaction kwa mtu mwenye account na bank nyingine?

How about Stanbic & Standard Chattered? - any experience?
 
kwa hapa kwetu wana debit card ukitaka credit card inabidi uweke pesa so kifupi akuna credit card na bank nzuri ni exim bank na crdb hope zipozingine ila exim naikubali zaidi na unaweza kujisajili na paypal
 
oi, niaje..........hebu jaribu kwenda stanbic bank, watakuwa nayo tu pale coz nimewahi kusoma katika google nikaona inapatikana hapo.
 
Back
Top Bottom